Wa nyamadyaki
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,178
- 529
chakula gani bei juu mkuu soko matola mchele unapata mpaka 1000 kilo kyela ndiyo kabisa tafiti kabla ya kusema jambo utachekwa.
1000 kwa kilo ngapi? Asiongee kama mtu asiyejitambua
chakula gani bei juu mkuu soko matola mchele unapata mpaka 1000 kilo kyela ndiyo kabisa tafiti kabla ya kusema jambo utachekwa.
Sijaelewa leo ni tar.2 feb na kwa nini wasisherehekee tarehe 5 feb siku ilipozaliwa ccm?