Mm nipo hapa Sae kwa macho yangu nimeona Coaster zaid ya saba zikisomba watu kwenda kwenye mkutano zingine kutuka wilaya ya Mbalali, Tukuyu, Kyela ntc.
naona jk ameshaanza kumnanga lowasa, haa haaWanaotoa rushwa wanapokewa km mashujaa. Huu wema huu wa leo mbona haukuwepo huko mwanzo? Unaposa nini?
Wanaotoa rushwa wanapokewa km mashujaa. Huu wema huu wa leo mbona haukuwepo huko mwanzo? Unaposa nini?
Amekemea rushwa na pesa chafu mkuu, hajamnga lowassa. Km lowassa anatoa rushwa na ana pesa chafu basi ujumbe umefikanaona jk ameshaanza kumnanga lowasa, haa haa
teh teh, ni kweli, nadhani lowasa atajibu mapigo kupitia vifaranga vyake!Amekemea rushwa na pesa chafu mkuu, hajamnga lowassa. Km lowassa anatoa rushwa na ana pesa chafu basi ujumbe umefika
duh, jk anapiga za uso kwa mzee wa monduli, wewee, wapi vifaranga?Uongozi ndani ya chama usiwe ni wa kununua km shati na suruali dukani
wapi lowasa? Jk chochea kuni, nani kesho?Wanaotaka uongozi kwa nguvu kwa kutumia pesa lazima wadhibitiwe kabisa.