Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,441
Hayo ndio wangeeleza sasa kuwa uwepo wa Mjuni Lwambo JF nao tumechangia kwa asilimia 100.hata uwepo wako hapa JF CCM imechangia kwa asilimia 100.
Mbona sasa wako kuzungumzia CHADEMA kama kwamba hayo ni maadhimisho ya CHADEMA!!???