Hadi raha..lazima nipigane sana hadi nipate kitambulisho changu cha kupigia kura..
Ccm jiandaeni kuwa chama cha upinzani
mapanya mapanya lumumba yameama yamekimbilia sudani
Lazima matawi yote ya kijani yapukutike mwaka huu.
Ester karibu sana CHADEMA na mti mkavu unaenda kuanguka, nitakuwepo kukupokea mwezi november katika ukumbi wa bunge Dodoma
Machadema kwa sifa daaaah, wahurumieni ndg zenu mtawauwa na presha wenzenu
Machadema kwa sifa daaaah, wahurumieni ndg zenu mtawauwa na presha wenzenu
Hadi watubu madhambi yao waliyo yafanya kwa watanzania kwa muda wa miaka 50 ya uhuru
Huku toka asubuhi mpaka sasa umeme haujarudi
Anajisikia yuko nyumbani zaidi sasa...
![]()
Vyovyote vile bulaya inampasa kumpumzisha Yule anaetumia viti vya bunge kama vitanda...na Uyu dada kwa jua au mvua inabidi Arudi bungeni..mdee...bulaya..matiko ...wataamusha hari ya mabadiliko saana kwa wanamama na mabint