Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

Upendo. Wapiganaji hupendana namna hii. Si maCCM yanapigana hadi kutaka kutoana roho. Kikwete aliwahi kusema hawaaminiami kabisa wanaweza hata kuwekeana sumu...

0

Inabidi wajiandae kwa kukabidhi madaraka
 
Jamani hamasisheni mpaka kieleweke mwaka huu haya shwain wanatuona watanzania ni wajinga mwaka huu tutawaonyesha
 
kwa usajili Wa lembeli na ester alafu ccm wakachukua mchezaji tuliemwacha arfi hapo ndio utajua chadema timu bora sasa bado makamanda wengine watakaoingia mjengoni ccm bye bye

Huo ni usajili makini sana tunamshukuru kamanda Mbowe kwa kuwapokea wawakilishi wa CCM ndani ya CDM tunao,ba wafanye kazi tuliyowatuma bila kupepesa macho maana CDM inaingilika kirahisi sana!
 
Pamoja wana Bunda .Mwaka huu wenye wivu na Chadema watachoka wenyewe tunaeneza mabadiliko ndani ya mioyo ya watanzania ili tuyazike rasmi mafisadi

Ndiyo mwisho wao magamba
 
Jamani nimecheka mbavu zaniuma etii. Kila nikikumbuka ile video ya anko Mako, daah! Kwa hiyo Makongoro kamtengenezea Bulaya silaha. Raha

Ha ha ha ha ha mkuu mambo mengine huwa yanakuja yenyewe!ila hiyo hotuba inachekesha sana.
 
Nadhan bulaya hajawah kusimama mbele ya umat mnene mpaka alipotoka gambani
 
Back
Top Bottom