Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,316
Nchi ina Ina rais mmoja tu!
Utaweweseka tu mwaka huu
Nchi ina Ina rais mmoja tu!
Je yule aliyemlilia mmiliki wa Star Tv yeye tumuiteje?
Nadhan bulaya hajawah kusimama mbele ya umat mnene mpaka alipotoka gambani
Utaweweseka tu mwaka huu
Siwezi kuweweseka kwa chama kilichoanzishwa mwaka 1992 nashukuru kazi inaendelea, Wawakilishi wanaendelea kuongezeka!
Pole sana,naona uzi haukufai maana unaweza ukapigwa ban
Anayepiga bun ni wewe hilo halinipi taabu, ila habari ndo hiyo! Kazi inaendelea na bado kuna wengine wanakuja jiandaeni teh teh teh
shepu ya huyu esta bulaya inanipagawisha sana
Sema tangu alivyo ijua siasa
Huu Ni udhalilishaji kwa utu wa binadamu. CCM raha yao ni kunyenyekewa na wananchi. Hapo Nape meno yote nje kuwacheka wananchi huku kakumbatia nguo za kijani. Ee Mola wetu tuondolee hili dude CCM,tunadhalilishwa sisi waja Wako. AmenWao wako busy kumzuga refa ili wafunge goli la mkono
Naomba endelea na mambo yako nalog off kwako
Wewe unafanya maombi wakati kinywa chako kimejaa matusi kwa Mungu yupi labda shetani, nyie mtaliwa tu!Huu Ni udhalilishaji kwa utu wa binadamu. CCM raha yao ni kunyenyekewa na wananchi. Hapo Nape meno yote nje kuwacheka wananchi huku kakumbatia nguo za kijani. Ee Mola wetu tuondolee hili dude CCM,tunadhalilishwa sisi waja Wako. Amen
Namuona Mdee anamwaga sumu..hapo hakuna "Aliselema"...
Ila cdm hapo kwa Bulaya mmelamba dume!napiga picha kama yeye na Mdee wakirudi bungeni hiyo formation itakuwaje?