mwana wa mtu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 220
- 53
Wakati mwingine inabidi kujadili namna habari ilivyoandikwa na aliyeiandika. Ramadhani Semtawa, mwandishi wa Mwananchi ni rafiki yake mkubwa sana Zitto Kabwe na amekuwa akitumia urafiki wake huo kutengeneza stories za Zitto Kabwe(kama waweza fanya utafiti fatilia habari zote ambazo huziandika kuhusu Zitto)..huku nyingi ya habari hizo zikiwa zimandaliwa na Zitto mwenyewe (ama kimaandishi ama kwa maneno ya mdomo tu na kukubaliana namna habari iwe). Back to the issue,nafikiri Chama chochote ili kiimarike lazima kuwe na kutokukubaliana ili kukubaliana...hivyo si jambo la ajabu masuala kama hayo yanapojitokeza.