Yaliyojiri kwenye kikao cha kamati kuu ya CDM 30.04.2011

Alitakiwa kukaimu mpaka pale uchaguzi utakapo kuwa umeitwa, uchaguzi bado nyie mnamtoa kwa vile sio mtu wenu na mna mtu wenu mnataka kumuweka . Hiki si chama ni genge la wahuni wachache wenye uroho na uchu wa madaraka
Basi achana na genge unajadili nini hapa? Wakuu tuachane na Sampuli za kina Malaria Sugu hizi. Ananukuu gazeti halafu anasimama kutetea utadhani naye alikuwemo kwenye kikao
 
Jamani used car kutoka India? Au ni Bajaji hizo. Wanaosema ni sawa kununua gari used je wanazijua gari za India. Hapa wana CDM lazima mkubali kua jamaa walitaka kulamba.
Na hata kama sio dili lakini mtu na akili zake anaona bora anunue gari used 100 za kidosi kuliko kununua gari chache za uhakika. Hawa ndio mnataka waongoze nchi? Hawajapata kiti na wameshaanza kula na wadosi. kweli tumekwisha.
 
Una mapepo nini? Vikao gani vya Chama vilikaa wiki hii kupa shibuda nafasi ya kukaimu uenyekiti wa Mkoa? Ulitaka Slaa aseme nini? Lini na wapi Lema aliambiwa hayo maneno na Shibuda? Umesahau kuwa aliyeambiwa hivyo ni Wenje? Kimeo cha CCM wewe!

Ww ndio sio mfuatiliaji wa mambo kabisaaaaaa !
1. Sina mapepo ila ukweli kusema unauma , pole sana na jivue gamba
2.Kikao kiliikaa shinyanga kumpa Shibuda kukaimu uenyekiti, na kilikuwa kikao halali na baraka zote za chama, Zitto alihudhuria muulize
3. Slaa asingeweza kusema kitu kwani yeye ni part and parcel ya ufisadi unaotaka kufanyika na ambazo Zitto ameuibua
4.Maneno hayo Shibuda alimwambia Lema na Wenje , wote kwa pamoja, kwani wanajifanya wao wanakujua chama zaidi kulizo Zitto ambae ni amewakaribisha na anakijua chama kuliko wao

Hoja zako zote zimejibiwa, na hapa ndio home of great thinkers jivue magamba na kubali ukweli !
 
Ngoja nikasome nondo za Mzengi na balozi Maajar kwani kuna kitu nimekiona hapa tangu jana hiyo story ilipowekwa kumekuwa na story nyingi sana za CDM ili watu waache kujadili hatari ya usalama wa taifa.
 
Jamani used car kutoka India? Au ni Bajaji hizo. Wanaosema ni sawa kununua gari used je wanazijua gari za India. Hapa wana CDM lazima mkubali kua jamaa walitaka kulamba.
Na hata kama sio dili lakini mtu na akili zake anaona bora anunue gari used 100 za kidosi kuliko kununua gari chache za uhakika. Hawa ndio mnataka waongoze nchi? Hawajapata kiti na wameshaanza kula na wadosi. kweli tumekwisha.

Gari za india walizotaka kununua ni zile Maraj , nadhani unazijua ambapo hata CCM walikuwa nazo , na tena used , duh ! kweli wajinga wali wao aisee. Hongera Zitto kwa kupinga ufisadi huu wa wazi wazi wa kina Slaa, Mbowe, Lema na kambi yao
 
Ngoja nikasome nondo za Mzengi na balozi Maajar kwani kuna kitu nimekiona hapa tangu jana hiyo story ilipowekwa kumekuwa na story nyingi sana za CDM ili watu waache kujadili hatari ya usalama wa taifa.

Bora uondoke kwani huna jipya kwenye huu ukweli
 
Hapa chini kama picha ya Zitto vile akihutubia wana CCM, teteteeee............ Eti Mwenyekiti wa CDM.....

1299641452download.jpg
1299641531IMG_2941.JPG
rudi kwenye hoja chadema inafanya ufisadi na kuwatenga wanachama wasiotoka kaskazini kwa kuwasingizia ni CCM B.mbona ata obama kuna picha ambazo kuna wafuasi wa republicans unajuaje labda alikua anawavuta waje chadema
 
Basi achana na genge unajadili nini hapa? Wakuu tuachane na Sampuli za kina Malaria Sugu hizi. Ananukuu gazeti halafu anasimama kutetea utadhani naye alikuwemo kwenye kikao

Nina data zaidi ya hizo za kwenye magazeti ! jivueni gamba mnatutia aibu sana, na hapo bado hamjashika dola , mkikamata itakuwa balaa aisee
 
Ww ndio sio mfuatiliaji wa mambo kabisaaaaaa !
1. Sina mapepo ila ukweli kusema unauma , pole sana na jivue gamba
2.Kikao kiliikaa shinyanga kumpa Shibuda kukaimu uenyekiti, na kilikuwa kikao halali na baraka zote za chama, Zitto alihudhuria muulize
3. Slaa asingeweza kusema kitu kwani yeye ni part and parcel ya ufisadi unaotaka kufanyika na ambazo Zitto ameuibua
4.Maneno hayo Shibuda alimwambia Lema na Wenje , wote kwa pamoja, kwani wanajifanya wao wanakujua chama zaidi kulizo Zitto ambae ni amewakaribisha na anakijua chama kuliko wao

Hoja zako zote zimejibiwa, na hapa ndio home of great thinkers jivue magamba na kubali ukweli !
Bado siwezi kushawishika kwamba huna mapepo.
 
Kwa kuwa wewe si muungwana, najua huwezi kuona haja ya kuthibitisha ni kwa vipi Slaa angejipatia Tshs 50m. Lakini ninakutaka uthibitishe hili kwanza ili tukuamini katika mengine yote utakayoya-post hapa.
Kwa kuwa u mfinyu sana kifikra (a mental case,more or less) najua utapuyanga puyanga tuu,hutathibitisha na uteaendelea tu kufanya mambo ya bata hapa. Ni kwa kuwa hujionei haya hata nafsi yako mwenyewe. Ndivyo ulivyo tuu na kwa bahati mbaya huwezi kuwa vinginevyo!
"Mbuzi ni mbuzi tu, hawezi kuwa simba" - 20%
Tatizo lenu mnacho hubiri sicho mnacho kitenda, Slaa ilibidi awe mpole , hili dili lingepita angekuwa na cha kwake Tshs 50m. Matendo yenu yanaaanza kudhihirika kwa watanzania kumbe mpo kwa maslahi yenu binafsi
 
Mwandishi wa habari hii ni Ramadhani Semtawa, ambaye alilipiwa ada ya masomo ya uandishi wa habari na Zitto kabwe, sioni ajabu kama akiandika habari ya kumpamba Bwana wake. na inasemekana jamaa ni mchumia tumbo tu. ndio anarudia masomo yake ya kidato cha nne mwaka huu alipata div ziro sijui na hiyo diploma ya Uandishi wa habari kaipataje,
jamani mlioko jikoni kama kuna CV ya Semtawa iwekeni hapa
 
  • Thanks
Reactions: SG8

Umeisha jijibu mwenyewe, na uthibitisho unao juu ya ufisadi wa kununua magari scrape ! na cha juu ambacho mzee mzima angepata kwenye hili dili. Jivueni magamba, acheni ufisadi !
 
Tatizo lenu mnacho hubiri sicho mnacho kitenda, Slaa ilibidi awe mpole , hili dili lingepita angekuwa na cha kwake Tshs 50m. Matendo yenu yanaaanza kudhihirika kwa watanzania kumbe mpo kwa maslahi yenu binafsi
Mimi nilijua kuwa wewe ni Genius kumbe Bogus. Chadema haifungwi na sheria ya manunuzi ya 2004 kama ilivyo kwa serikali. Ni kinyume cha sheria kwa serikali kununua used materials lakini siyo kwa raia wake au vyama vya siasa. Kwa kuzingatia hili ndo maana 98% ya watanzania wanaonunua magari wanaagiza used cars. Elewa mipaka ya sheria na ujue nani anafungwa na sheria hiyo.
 
Mwandishi wa habari hii ni Ramadhani Semtawa, ambaye alilipiwa ada ya masomo ya uandishi wa habari na Zitto kabwe, sioni ajabu kama akiandika habari ya kumpamba Bwana wake. na inasemekana jamaa ni mchumia tumbo tu. ndio anarudia masomo yake ya kidato cha nne mwaka huu alipata div ziro sijui na hiyo diploma ya Uandishi wa habari kaipataje,
jamani mlioko jikoni kama kuna CV ya Semtawa iwekeni hapa

Wakati anaandika habari za kuwasifia CDM hukulisema hili, ila baada ya kuandika ufisadi huu wa CDM unayaleta haya jamvini, shame on you !
 
Mimi nilijua kuwa wewe ni Genius kumbe Bogus. Chadema haifungwi na sheria ya manunuzi ya 2004 kama ilivyo kwa serikali. Ni kinyume cha sheria kwa serikali kununua used materials lakini siyo kwa raia wake au vyama vya siasa. Kwa kuzingatia hili ndo maana 98% ya watanzania wanaonunua magari wanaagiza used cars. Elewa mipaka ya sheria na ujue nani anafungwa na sheria hiyo.

Kama CDM walitakiwa waonyeshe mfano wa kutekeleza sheria. CCM walinunua hivi karibuni magari , walinunua mapya sio chakavu. Hili kubalini tu ni wizi viongozi wenu walitaka kuufanya. Badala ya kumpongeza Zitto mnamtuhumu
 
Chadema hawana haja ya kununua magari mapya, sasa utapingaje mashangini yanayo nunuliwa na serikali, nadhani mpango wao ni mzuri, zito anawatega huyoooooooo
 
Wakinunua tu used cars wamejimaliza kwani jamaa wana cha juu chao hapo, teh tehe tehe teh !
 
CDM watu wa ajabu sana, walipinga sana ununuzi wa mitambo ya DOWANS kwamba ilikuwa chakavu sasa wao leo wanataka kununua magari chakavu India.....huu ni unafiki mkubwa sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom