... kati ya waovu wengi hawakosekani wachache wenye haki! Kwani katika majiji ya Sodoma na Gomora hapakuwa na watatu, watatu tu, wenye haki kati ya maelfu?
 
Najiuliza hivi mawakili wa serikali mbona wanaiabisha hivi nchi yetu?
Hadi jaji anaona kazi kukaa upande wao.
 
Hawa makomandoo hawakuweza kuwadhibiti hao polisi uchwara?
 
Hawa makomandoo hawakuweza kuwadhibiti hao polisi uchwara?
... ndio kabisa wange-justify ni magadi; kumbuka ya Field Marshall Al Hamza walivyokimbilia haraka haraka ku-conclude ni gaidi na jalada kufungwa fasta. Hawa makomandoo ni wavumilivu na wenye busara sana. Japo wanaishi kwa mateso kwa sasa, lakini Mungu anapoamua "kuwafumbua macho" watu wake ana njia nyingi sana.

Kupitia hawa jamaa tumejua uozo wa ajabu ulio kwenye mifumo yetu ya haki - Katiba, sheria, polisi, DPP, mahakama/yule jaji aliyetaka kuwa kocha mchezaji, n.k.
 
Ila ni chuki kubwa inayopandikizwa hapa. Kati ya polisi na wanajeshi
 
 
Unajibizana na hao wazembe wanaosubiri teuzi za kuvuliwa pichu??
 
Ngoja hawa Makomandoo watoke mahabusu. Kitakachotokea mtakuja kuhadithia...
 
Hujamsikiloza vizur..hakula siku kumi kwa chakula cha kina kingai (polis) bali alikuwa analetewa na rafiki yake yule polis biskut na soda anagawana na mwenzake..upo nyonyo!
 
Ni nani anawatishia wanajeshi? anafahamu athari zake,? ni kweli mna Mamlaka lkn hapa mmeenda vibaya!!!
Serikali msituingize kwenye matatizo.... DPP withdraw hii kesi kuna jambo mnalipanda sasa litaleta very bad consequence muda si mrefu!!!

Due to your statement... advocate Mallya is also a mouth piece?!

And you seriously do believe that the Government is spreading their virus through the army, ... incognito?! Kabisa???

Kwamba “Serikali “ inao uwezo wa kuingiza nchi vitani just “like that??! “”

Maybe!!! Lakini mimi sio mtaalamu wa “mtanange” ...
 
Hili Gaidi lingeachiwa liendelee kumbe lingetuletea madhara makubwa sana bora vyombo vyetu vimelikabili.
na pia lilifanikiwa kupandikiza mbegu za kigaidi kwa wananchama wake.
nao wanapaswa wafuatiliwe nyendo zao.

Unakosea sana unapofanya hitimisho wakati kesi ya msingi yenyewe haijaanza kusikilizwa!

Selling yourself eeh?!
 

Kwani mtuhumiwa mheshimiwa Mbowe na wenzie wako na options gani?!?

Unamuhukumu Numbisa kwa mfano batili!!

No matter the accused’s position, it has to be beyond reasonable doubt!!
 
Mahakamani hakuna kuhisi wala myths, sheria inataka Mahabusu wapewe Chakula je hao wakina Kingai waliwapa Chakula?
 
Kwani mtuhumiwa mheshimiwa Mbowe na wenzie wako na options gani?!?

Unamuhukumu Numbisa kwa mfano batili!!

No matter the accused’s position, it has to be beyond reasonable doubt!!
Wewe na huyo Numbisa wako, naona kama akili zenu wote zinafanana vile. Tuufunge huu mjadala tafadhali.
 
Alisema sello kulikuwa na bomba la Maji so alikuwa anajisevia, soma vizuri mfululizo wa kesi sio unakuja kujamba tu humu jukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…