adam kusekwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Hai, Kilimanjaro: Komandoo Adamoo na wenzake wazawadiwa ng’ombe dume kila mmoja

    Makomandoo hao ambao ni Walinzi wa Freeman Mbowe kwa kinachoitwa ( VIP PROTECTION ), waliokamatwa na kuwekwa Gerezani kwa miezi mingi, leo wamefika Hai Mkoani Kilimanjaro pamoja na Mtuhumiwa mwenzao Mbowe, aliyeenda huko kutoa Sadaka ya Shukrani kwenye Kanisa la KKKT Nshala Machame. Pamoja na...
  2. K

    Kesi ya Mbowe: Kibatala na Mallya wameiondolea Mahakama uwezo wa kumfunga Mbowe hata ikishinikizwa

    Jana tumesikia polisi akitoa ushahidi wake kwenye kesi ya Mbowe. Tumesikia na siyo mara ya kwanza wakijitetea kwamba maelezo waliyoandika wamejisahau wakakosea yaani "typographical error". Je, sheria na mahakama zinasema kuhusu hiki kinachoitwa "typographical error"? Ukweli ni kwamba mtu...
  3. Nyendo

    Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa - 28/09/2021

    Leo tena upande wa utetezi katika kesi ya Mbowe wanaendelea kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ya kesi kubwa ambapo leo tarehe 28/09/2021 Mtuhumiwa Lig'wenya anaendelea na ushahidi wake. ======= Jaji: ameshaingia Sasa Kesi namba 16 Inatajwa Kesi namba 16 ya Mwaka 2021,Jamuhuri dhidi ya...
Back
Top Bottom