Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

Hebu jaribu kufuatilia kwa nini Dole sytem ilifail kwenye nchi uliyoko miaka ya Karne ya 18....utakuwa na matatizo ya akili kuamini katika kugawa pesa...
Nadhani huelewi watu kwa nini ni maskini kama mwenyekiti wa chama chako...hii ni moja ya njia ya kuwafanya watu maskini zaidi (kugawa pesa)...
Utaelewa kwa nini Masiah alimsifu yule mjane aliyetoa kidogo alichonacho..
Unaenda kumlipa msanii 10mil mbele ya jamii maskini!


Mueleza hata OBAMA tulimchangia na hela za mabox tehetehe... lazima kieleweke...
 
Sumu;Kweli pesa haidanganyi, Mh. Msigwa sura imetakata na amekuwa body builder.

Acha uvivu wa kufikiri kwa hiyo Unamaanisha uhandsome wa Wassira na Pinda ni kwa sababu ya pesa? Usiingilie Uumbaji wa Mungu ukauingiza kwenye siasa.
 
Lukosi akiona habari za Msigwa kama hizi machozi yanamtoka.

Kudos Chadema, Kudos wabunge wote wa CHADEMA.
 
siyo kigogo ni vigogo jamani msigwa mchungaji wapo wengi
 
Wajinga ndio waliwao,ndio maana Mzee Sabodo kachoka kutoa hela tena Chadema,sasa hao mazuzu wa iringa wanachanga chama ambacho hata ofsi ya makao makuu hakina

We aise.. serukumba... CCM tumeichangia mara ngapi hela mwenge ili kueneza Ukimwi aisee... acha na Kodi zetu wanazopiga panga acha mifuko ya hifadhi ilivyochakachuliwa... yani kalaleni makaburini,,
 
Huyo atakuwa Raia wa Somalia...hana uchungu na Tanzania....
 
Pesa haimkatai mtu.
Sadaka haiwezi kumnenepesha hivi, keshakuwa mchungaji wa mwili.
Yah your very right.. ila zitakutakatisha vizuri zikiwa za halali... Vipi zile za ndovu kwa kigogo wa CCM je nazo zimemtakatisha au zimegongana na maradhi maana hatuoni mtakato wa mwili??
 
We aise.. serukumba... CCM tumeichangia mara ngapi hela mwenge ili kueneza Ukimwi aisee... acha na Kodi zetu wanazopiga panga acha mifuko ya hifadhi ilivyochakachuliwa... yani kalaleni makaburini,,

CCM imechangiwa mara ngapi kwa message za simu? acheni husuda.
 
Na siku hizi anavaa "kata K".
Karibu makada wote wa chama ukiwafikisha katika hili watakupa jibu moja tu, kuwa hilo atalijibia mwenyewe. Nathibitisha maneno hayo pia kutoka kwako sababu nilitegemea ungelimjibia hata angalau kwa propaganda but imekuwa ngumu. So tumuache na Msigwa alipeleke bungeni pengine huko atajitokeza mwenye jeuri ya kujibu
 
Kweli pesa haidanganyi, Mh. Msigwa sura imetakata na amekuwa body builder.

Does this dead comment help the progress of this Nation ? Au umeandika ili upate mkate wako ?
 
kubwa jinga,usitoke nje ya mada,mjadili jangili kinana Sumu

Kweli ilo ni kubwa jinga!uwaga hana hoja hata katika mambo ya msingi yeye ni porojo porojo tu,ila ukiangalia hivyo ndivyo walivyo wengi ya wenzetu wa upande wa pili,kuanzia viongozi wao mpaka wafuasi wao,uwa hawanaga uwezo wa kujenga hoja,wao ni porojo,kejeli,matusi,huzushi,unafiki na uongo!sasa sijui ni kipi kinachowapelekeaga kushindwa kujenga hoja!sijui ni uwezo mdogo wa kifikra au nini!na hiyo ndio tofauti kubwa ya sisi na wao
 
Last edited by a moderator:
Katika hali tulio izoea kutoka upande wa pili wafanyapo mkutano kwa kweli CHADEMA mtakuwa mmewavunja moyo wenzenu katika siasa nakukiuka miiko iliyojengeka yenyewe siku za hivi karibuni. Inawezekana vipi mkutano wote ule Kuitaja CCM MARA MOJA TU!!!
Jamani!!
• Kiwia: Ukiona mahali kuna amani ya kweli inayotokana na haki pamoja na demokrasia, ujue kuna watu wachache wamejitoa, ikibidi kwa jasho na tone la damu! Bunge sasa limegeuzwa kuwa rubber stamp ya masuala ya CCM!
 
Kweli pesa haidanganyi, Mh. Msigwa sura imetakata na amekuwa body builder.

Hakika mkuu umenena si hata Mbowe si unamwona alivyobadilika tangia aingia bungeni 2010.
 
Back
Top Bottom