sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
yule mwenye makengeza pale makao makuu
Mwalimu unaangaika sana,mwanzo ulikuwa huku,pole sana,wenzio wanasonga mbele,nyuma mwiko.
yule mwenye makengeza pale makao makuu
Hiki chama kina Muhuri wa Mbinguni....
ZITTO amesemaje, mbona sioni mchango wake coz mimi yule ndo namuona jembe wengine hawa wanawalamba viatu Slaa na Mbowe.Wakuu.
Mtakumbuka kuwa leo wabunge wa Chadema walio fukuzwa kiuonevu bungeni wanafanya mkutano jimbo la Iringa mjini ili kushtaki kwa umma uonevu walio fanyiwa.
Hapa ni yanayojiri mkutanoni.
Diwani wa Iringa mjini, Nyalusi, wananchi wa Iringa wana imani na viongozi wa CHADEMA, kuliko walioko madarakani. Kapanda Sugu
Sugu: Tutaendelea kukomaa. Kiti kinamfukuza Lissu kwa kufanya kazi yake, wakati Serukamba mbunge wa FT, akiachwa! Tusi kubwa, hakuna mbunge katika jumuiya ya madola amewahi kutukana tusi baya kama hilo, limevunja rekodi Jumuiya ya Madola
Sugu: Kauli ya WASSIRA, Kibanda ni nani? Ubinadamu na utu kwao ni cheo!
Kiwia: Matusi kwa Wtz ni kufanywa maskini katika nchi tajiri, akina mama kwenda na nyembe na kila k2 kujifungua, kuzungumzia madawati miaka 50 ya uhuru wakati Kenya wanazungumzia kompyuta kwa kila mtoto.
Kiwia: Ukiona mahali kuna amani ya kweli inayotokana na haki pamoja na demokrasia, ujue kuna watu wachache wamejitoa, ikibidi kwa jasho na tone la damu! Bunge sasa limegeuzwa kuwa rubber stamp ya masuala ya CCM!
Mnyika anasema fedha za DECI zirudishwe. Wabunge wanazuiwa kujadili suala la Deci eti liko mahakamani, mbona Magufuli aliamua kuongelea suala la samaki wake kwani aliwagawa hao samaki wakati kesi ikiendelea.
Mnyika anatuma salamu kwa Kamhanda kuwa alisababisha mauaji ya Mwangosi. Anasema kitendo hiki hakivumiliki na hawataliacha suala hili bila hatua kuchukuliwa
Wenje anazungumzia suala la watoto kukaa chini kwa kukosa madawati wakati mbao zinasafirishwa kwenda nje kila siku kwa dili za wakubwa.
Wenje anasema Maige aliwajibishwa kwa upotevu wa twiga wawili iweje kwa kawambwa ishindikane?
Suala la mfumuko wa bei na kodi zisizo za lazima. Wenje "Kama akina Lusinde ndio washauri wa serikali hasa kupandisha thamani ya pesa zetu eti kwa kuondoa picha ya nyoka na kuweka ya Nyerere na Karume basi tumeruhusu akili ndogo kutawala akili kubwa".
Dr Slaa Anasema wabunge wake hawatatafuna maneno inapofika suala kuiwajibisha na kuiagiza serikali kwa ajili ya maslahi ya Watanzania.
Anasema Serikalii hii ni IMPOTENT kuanzia yule wa juu hadi walioko chini.
Ameagiza; wabunge wa CHADEMA wakaze mwendo kuwa more focused na wakali zaidi kuliko sasa, kama kiti kinaendelea na tabia ya kuminya haki.
Ameagiza kuanzia sasa hotuba zote za Kambi ya Upinzani Bungeni zitolewe nakala na kugawiwa hadi ngazi ya kata ya chama, kupeleka taarifa na maarifa kwa wananchi, Watanzania kila mahali nchi nzima.
Mkutano umekwisha kwa amani, wananchi wanaandamaa kwa amani wakilisukuma gari la Dr Slaa na kuimba "Raisi, raisi, raisi, ....
====== Picha =======
![]()
![]()
DR Slaa sio rais wa maskini bhana. Umeshasahau anavyokamua ruzuku ya chama kama opportunity cost ya kukosa ubunge?
Ha ha ha! Dont panic please.
m23 vp ile ishu yako na yule dereva imefikia wapi? Kesho ntakutafuta ktk ile mitaa nikufanyie Suprise kuwa nakufahamu...wewe ni chadema pure sema upo ktk ajira lumumba
Ni mpango wa Mungu mwenyewe!
Unabisha nn wakati watu wana akili zao wana macho na wana maskio...kwenye uchaguzi mkuu2010 slaa alipandikiza udini rasmi na hajaacha.
Mlishalishwa limbwata na mpaka Slaa awachukulie wake na waume ndo mtashtuka.Anadtahili kupata zaidi ya hapo!
afu usisahau kuntafutia ile gari nlokuambia mwaka jana..ela ipo,achana na magamba
Muulize Jk Mke wake wa KWANZA yuko wapi? Halafu pia muulize kwanini alimfunga BABU SEYA?
Ndio maana wenye akili zao wanajua CHADEMA haiwezi kusimama peke yake bila kuegemea katika muhimili wa dini.
Takwimu za matokeo ya 2010 zinaonyesha a big jump ya wabunge by 336% kutoka 2005! What a propaganda.
Ila hii sera ina mwisho wake wake ambao huenda usiwe mzuri.
Practice politics, dini tuwaachie wenyewe!
Habari kuwa unatunzwa mjini na Mwigulu ni za kweli? Tufahamishe ndugu maana siku za nyuma huyo jamaa alitangaza kuwa alilala wa mpambe wake chumba kimoja Singida hotelini kubana matumizi. Inataka moyo kama hiyo siyo tabia yako asili!ukiweza nahamia nccr
hivi chama gani kwenye ilani yake kilizungumzia masuala ya mahakama ya kadhi kikichaguliwa?Ndio maana wenye akili zao wanajua CHADEMA haiwezi kusimama peke yake bila kuegemea katika muhimili wa dini.
Takwimu za matokeo ya 2010 zinaonyesha a big jump ya wabunge by 336% kutoka 2005! What a propaganda.
Ila hii sera ina mwisho wake wake ambao huenda usiwe mzuri.
Practice politics, dini tuwaachie wenyewe!
naamini siku zote mkamia maji hayanywi ndicho kitakachotokea wakati ukifika watanzania wanajua mbichi na mbivu.
Shetani na wafuasi wake Chadema na Mungu wake.
Mlishalishwa limbwata na mpaka Slaa awachukulie wake na waume ndo mtashtuka.
wa slaa ni wazir kivuli wa kilimo anavaa magwanda
hapa duniani wengi ni wa shetani, mpaka mbinguni ndo utajiita mtakatifu, CDM hawana lolote ni kama shetani anayewalaghai viumbe wa MUngu