Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

Mnyika anamalizia kwa kuzungumzia ahadi ya maisha bora vs maisha magumu. Anapitisha fomu kwa Watanzania wote walioko hapa kusaini kama wanaguswa na tatizo kubwa la maisha magumu. Anafuata Wenje.
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1366723963.957674.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1366723963.957674.jpg
    136.9 KB · Views: 138
UMATI MKUBWA WA KISIASA KAMA HUU KWA CCM SIKU HIZI NI GHARAMA KUBWA SAWA NA BEI YA BASI MOJA AINA YA 'MACOPOLO PARADISO' ILA KWA CDM YOTE NI HIARI TU

Wakuu, umati mkubwa kama huu unaojihiari tu wenyewe kwenda kuwasikiliza Makamanda wetu wa uhakika CHADEMA, kama ingalikua ni kwa upande wa watani zetu Wa-Kijani lazima

(1) ingewagharimu hadi Tsh 53,000,000/- kuwakusanya watu kwa kuwalipa fedha na kuwasafirisha kwa malori,

(2) Nape na Mzee wa Tembo wangehitaji kitu kama mikutano ya ndani zaidi ya 60 ili kubembeleza watu wajitokeze,

(3) Wa-Kijani wangehitaji ziara ya wiki 2 mfululizo kutembelea si chini ya vijiji 50 Iringa ili siku ya mkutano waweze kupata japo robo ya watu kama tunaowaona katika umati hapo chini lakini watoto wa shule za msingi wakiwa ndio wengi zaidi ambao mara nyigi hujitokeza kwenda kujionea wenyewe kwamba 'FISADI HUWA NI MTU WA AINA GANI VILE',

(4) Kwenye mkutano mzito kama huu wa leo, laiti kama ingalikua ni kwa wale watani wetu Wa-Kijani, lazima kumbi mbali mbali nchini zingekua zimebaki zikiwa zimenuna kwa kuwa tu wasanii lukuki wamekusanywa kwenda kubembelezea umati wa kisiasa wasiondoke hata kama sera ya siku ni kuporomoshea CHADEMA matusi mazito mazito kama yale ya 'Waziri Mkuu Muandaliwa wa CCM hapo 2050 - Mhe Serukamba et al'.

Jamani, acheni CHADEMA tuendelee kupendwa kwa hiari ya wananchi wenyewe bil ya kuwapa hata senti tano kwa kuwa wanafahamu fika nini maana ya 'Vita Dhidi ya Ufisadi - CCM' na ugumu wake wanaoupata makanda wetu kila siku kwa ajili ya umma wa Tanzania kupata ahueni baada ya kukiondoa CCM pale Magogoni.

CDM vita dhidi ya ufisadi bungeni mbeeeeele kama tai mpaka kielewe na kusaidi kurejeshea ndugu zetu Wa-Maasai ardhi ya kule Loliondo kabla hajachelewa!!!!!!

Eti mess amefunga magoli mengi na hataki kuwaachia wenzake kufunga mwamuzi anaamuru mess atolewe uwanjani haraka sanaa tena kwa ulinzi wa polisi!! Kuliko lisu awe mbunge nibora Dr slaa awe rais.kwa kweli ninajuta kuzaliwa tanzania nchi ya kwanza kwa umasini afrika ya mashariki na dunia
 
CCM BADALA YA KUJIULIZA KWANINI EXCHANGE RATE IMEFIKIKA KIWANGO HIKI,MNATULETEA NGONJERA.

usd 1639 - 1655

pound 2450- 2600

nani anayesababisha tufike hapa?...CCM au CHADEMA???

GO GO GO.... CHADEMA.
 
MKUU WINGU (LUMUMBA et al )NAONA JAMAA WANAUPLOAD PICHA ZA MOSHI NA ARUSHA WANAKWAMBIA NI IRINGA

HIVI IRINGA SI IPO KASKAZINI MWA TAZANZANIA...????????

TEHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHH, HAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.
KWISHA HABARI YENU, MNAPIKA MAWE MKITEGEMEA YATAIVA

CDM JUUUUUUUUUUUUUUUUU JUUUUUUUUUUUUUUU ZAIDI, PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE........

LEO LAZIMA MUHAR..SHE WOTE HAPO LUMUMBA, CCM PUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

KINANA(JANGIRI) PUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
NEPI..[PUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
JK (MZEE WA NDIMI SABA) PUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

R.I P MASISIEMU, KWANI SHETANI AMEWAPENDA ZAIDIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII....................... MTAIKUBALI TU CDM

LUMUMBA MPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO, PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

MAJANGIRI WA RASILIMALI ZA WATZ MPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

WEZI WA FEDHA ZA DECI, EPA, KAGODA, MEREMETA, WAZEE WA USWISI MPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

ADUI YAKO MUOMBE NJAAA, ATANYOOSHA MIKONO JUUTU HATAKAMA ALIKUWA SHUJAAAA, CCM TUNAENDELEA KUWAOMBEA NJAA NYA MAWAZO NA HEKIMA,,, IWATAFUNE MPAKA MFE WOTE

TUKIINGIA MAGOGONI, WEZI WOTE, MLIOTUSABABISHIA UMASKINI HUU TUTAWAPIGA RISASI ILI IWE FUNDISHO KWA MAFISADI WOOTE

TULIANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU
 
Kamanda Wenje ameanza na suala la watoto kukaa chini kwa kukosa madawati wakati mbao zinasafirishwa kwenda nje. Ameongelea suala la kumuwajibisha shukuru kawambwa kwani Maige aliwajibishwa kwa upotevu wa twiga wa2 iweje kwa kawambwa ishindikane? Anaendelea na suala la mfumuko wa bei na kodi zisizo za lazima. Anasema kama akina Lusinde ndio washauri wa serikali hasa kupandisha thamani ya pesa zetu eti kwa kuondoa picha ya nyoka na kuweka ya Nyerere na Karume basi 2meruhusu akili ndogo kutawala akili kubwa.
 
• Kiwia 'matusi kwa Wtz ni kufanywa maskini katika nchi tajiri, akina mama kwenda na nyembe na kila k2 kujifungua, kuzungumzia madawati miaka 50 ya uhuru wakati Kenya wanazungumzia kompyuta kwa kila mtoto

KAMUULIZE KINANA NA NCHEMBA WAO WANA MPANGO GANI NA WATOTO WA WAKULIMA
 
UMATI MKUBWA WA KISIASA KAMA HUU KWA CCM SIKU HIZI NI GHARAMA KUBWA SAWA NA BEI YA BASI MOJA AINA YA 'MACOPOLO PARADISO' ILA KWA CDM YOTE NI HIARI TU

Wakuu, umati mkubwa kama huu unaojihiari tu wenyewe kwenda kuwasikiliza Makamanda wetu wa uhakika CHADEMA, kama ingalikua ni kwa upande wa watani zetu Wa-Kijani lazima

(1) ingewagharimu hadi Tsh 53,000,000/- kuwakusanya watu kwa kuwalipa fedha na kuwasafirisha kwa malori,

(2) Nape na Mzee wa Tembo wangehitaji kitu kama mikutano ya ndani zaidi ya 60 ili kubembeleza watu wajitokeze,

(3) Wa-Kijani wangehitaji ziara ya wiki 2 mfululizo kutembelea si chini ya vijiji 50 Iringa ili siku ya mkutano waweze kupata japo robo ya watu kama tunaowaona katika umati hapo chini lakini watoto wa shule za msingi wakiwa ndio wengi zaidi ambao mara nyigi hujitokeza kwenda kujionea wenyewe kwamba 'FISADI HUWA NI MTU WA AINA GANI VILE',

(4) Kwenye mkutano mzito kama huu wa leo, laiti kama ingalikua ni kwa wale watani wetu Wa-Kijani, lazima kumbi mbali mbali nchini zingekua zimebaki zikiwa zimenuna kwa kuwa tu wasanii lukuki wamekusanywa kwenda kubembelezea umati wa kisiasa wasiondoke hata kama sera ya siku ni kuporomoshea CHADEMA matusi mazito mazito kama yale ya 'Waziri Mkuu Muandaliwa wa CCM hapo 2050 - Mhe Serukamba et al'.

Jamani, acheni CHADEMA tuendelee kupendwa kwa hiari ya wananchi wenyewe bil ya kuwapa hata senti tano kwa kuwa wanafahamu fika nini maana ya 'Vita Dhidi ya Ufisadi - CCM' na ugumu wake wanaoupata makanda wetu kila siku kwa ajili ya umma wa Tanzania kupata ahueni baada ya kukiondoa CCM pale Magogoni.

CDM vita dhidi ya ufisadi bungeni mbeeeeele kama tai mpaka kielewe na kusaidi kurejeshea ndugu zetu Wa-Maasai ardhi ya kule Loliondo kabla hajachelewa!!!!!!

Mkuu umesahau na viti kwenye analysis yko. Kiti kimoja ni sawa na nafasi ya watu sita. Haiitaji kwenda makerere kujua hilo. Hata makonda wanajua.
 
sugu ndio ana drs la 7 la kata teh teh teh
naona unarusha vi miguu angalau upate kwenda choo leo....mwambie nepi hapa hakuna cha diamond wala mipasho ni full dose kwa raia dhidi ya ufisadi wenu....leo hii mnatuletea hata monsanto ili tufe?Mipango ya Mungu haiwezi kushindwa kamwe!!!!
 
Wenje anasisitiza kwamba CCM ni MA IMPOTENT... Kuna raha sana hapa leo...
 
Ndo akili zenu zinawatuma mkiona watu wengi mnaona mmeshinda
Unakumbuka uchanguzi wa Arumeru, unakumbuka mlisema nini? mara wanywa viroba mara hawana kadi lakini mwisho wa siku watu waondoka saa tisaa usiku kwenda uwanja wa ndenge subiri mwaka 2015 mtawahi uwanja wa ndege kuikimbia nchi kwani kinacho fata sasa hivi ni kuwahamasisha vina kwa wingi wajiandikishe.....
 
Mkuu Uwezo Tunao tofauti ya CCM na CDM wanaohudhuria katika mikutano yao ni Rika........CCM watoto wa shule wakati CDM(Wapiga kura)
 
CHADEMA hawana kitu Malori yamesomba raia kutoka Morogoro na Mbeya kujaza watu Iringa lol..........
 
naona unarusha vi miguu angalau upate kwenda choo leo....mwambie nepi hapa hakuna cha diamond wala mipasho ni full dose kwa raia dhidi ya ufisadi wenu....leo hii mnatuletea hata monsanto ili tufe?mipango ya mungu haiwezi kushindwa kamwe!!!!

mkuu hao jamaa leo nepi kawaambia hawapati posho, so wengine wamezira wameondoka humu wamebaki wawili tu leo, wanajitahidi kumkonvisi nepi awape japo kjero la nauli tehhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
chezea cdm weye, utalala mtaloni kama gadafii tehhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom