Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

Hakika ni habari njema sana.Hakika utukufu wa Mungu umedhihirika.

Acha uprotestant we kijana. Kwanini unapenda kumshirikisha mungu kwenye issue zetu hizi za kuwania tonge?

Acha mungu aitwe mungu bana!
 
chadema hawana kitu malori yamesomba raia kutoka morogoro na mbeya kujaza watu iringa lol..........

hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuu leo umejitoa ufahamu, tehhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

siamini kama ni wewe, ebu itkia hii salamu ili akili zikurudie sawaswa peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

tehhh basi umepona kichaa chako, kawasimulie wenzako 20 tu juu ya muujiza wa salamu hiyo.. Tehhh
 
mkuu hao jamaa leo nepi kawaambia hawapati posho, so wengine wamezira wameondoka humu wamebaki wawili tu leo, wanajitahidi kumkonvisi nepi awape japo kjero la nauli tehhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
chezea cdm weye, utalala mtaloni kama gadafii tehhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Yakafie mbele manyang'au kabisa kazi kuombaomba na kutumika kama ile mipira.......
Tupa kule magambaaaaaaa.....ptyyuuuuuuuuuuuuuuu...
 
mm mwenyewe serukamba aliniuza sana siku ile hivi kwanini aombi msamaha au ndo ujeuri wao ulivyo?
 
Wenje kamalizia kwa kutangaza 'baraza' lake la mawaziri kwa maoni yake...
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1366725356.706068.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1366725356.706068.jpg
    95.3 KB · Views: 306
Makene ule mpango wa kuwa na data base ya wanachama wa cdm wanaojiunga ilikuwa ni story.
 
unakumbuka uchanguzi wa arumeru, unakumbuka mlisema nini? Mara wanywa viroba mara hawana kadi lakini mwisho wa siku watu waondoka saa tisaa usiku kwenda uwanja wa ndenge subiri mwaka 2015 mtawahi uwanja wa ndege kuikimbia nchi kwani kinacho fata sasa hivi ni kuwahamasisha vina kwa wingi wajiandikishe.....

nadhani ulimaanisha vijana.kama ndivyo ulivyokusudia ,vijana hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ,vijana tunaweza kuleta mabadiliko hasi ndani ya hii nchi.

Leo exchange rate usd 1632-1655 ????? Kazi kweli kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
Shuhudia kidogo cheche za leo...sikiliza video...
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1366725414.002990.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1366725414.002990.jpg
    72.3 KB · Views: 111
• Mnyika anasema fedha za DECI zirudishwe. Wabunge wanazuiwa kujadili suala la Deci eti liko mahakamani, mbona Magufuli aliamua kuongelea suala la samaki wake kwani aliwagawa hao samaki wakati kesi ikiendelea.

• Mnyika anatuma salamu kwa Kamhanda kuwa alisababisha mauaji ya Mwangosi. Anasema kitendo hiki hakivumiliki na hawataliacha suala hili bila hatua kuchukuliwa

Hivi Mnyika nae alitimuliwa Bungeni?
Alafu dogo ajiangalie alianza vizuri lakini na yeye sasa kawa KIROPOROPO

 
Kiwia 'matusi kwa Wtz ni kufanywa maskini katika nchi tajiri, akina mama kwenda na nyembe na kila k2 kujifungua, kuzungumzia madawati miaka 50 ya uhuru wakati Kenya wanazungumzia kompyuta kwa kila mtoto

NDIO AKILI ZA jk na NEC YAKE nchi ina kila kitu ila yeye ni kuomba misaada, mpaka madawati tu ya me mshinda shame on you JK dhaifu sana,kazi kuchekacheka
 
acha uprotestant we kijana. Kwanini unapenda kumshirikisha mungu kwenye issue zetu hizi za kuwania tonge?

Acha mungu aitwe mungu bana!

polesana bocho mmeshamaliza mgogoro wenu na nape.............leo mtajibeba amewapa buku saba ya kula usiku???? Poleni sana

tukichukua nchi 2015 nyinyi mnaosababisha watz wazidi kuwa maskini tutawapiga risasi hadharani ili liwe fundisho kwa wengine kama wewe na maruhani yenu ya ndimi saba..


Usimjaribu mungu, akiamua kutenda anatenda tu... Naskia hapo iringa, ni kata ya mkoa wa kilimanjaro, umemuona john komba hapo, umemuona mzee wa ndomo (diamond), umemuona lina hapo, au umeona malori hapo na kofia.., take care, mabadiliko huwezi kuyazuia kwa buku sanba yako mkuuu.... Peolpleeeeeeeeeee
 
kwa matumaini makubwa magamba wataondoka magogon
 
Acha uprotestant we kijana. Kwanini unapenda kumshirikisha mungu kwenye issue zetu hizi za kuwania tonge?

Acha mungu aitwe mungu bana!
Leo mtajampa mapovu maana buku 7 nepi kaondoka nazo....mlidhani Allah atatuacha mtuuwe na monsanto wenu...
 
Acha uprotestant we kijana. Kwanini unapenda kumshirikisha mungu kwenye issue zetu hizi za kuwania tonge?

Acha mungu aitwe mungu bana!

Chadema wana Mungu wao wana Ibilisi.
 
hivi mnyika nae alitimuliwa bungeni?
Alafu dogo ajiangalie alianza vizuri lakini na yeye sasa kawa kiroporopo


tulia kijana, tulia kama unakata gogo... Sikiliza hoja, siyo mambo ya nataka kulewa. Na kusomba watu na kuwahadaa na ubwabwa,..... Miaka 51 unamdanganya mtu na ubwabwa... Sikiliza sera
 
Hivi Mnyika nae alitimuliwa Bungeni?
Alafu dogo ajiangalie alianza vizuri lakini na yeye sasa kawa KIROPOROPO


pole sana dada huyui utendalo so usamehewe bure,maana ilo jiji lenu na ma CCM yenu usafi tu umewashinda shame on you
 
"Sugu, tutaendelea kukomaa. Kiti kinamfukuza Lissu kwa kufanya kazi yake, wakati Serukamba mbunge wa FT, akiachwa! Tusi kubwa, hakuna mbunge katika jumuiya ya madola amewahi kutukana tusi baya kama hilo, limevunja rekodi Jumuiya ya Madola • Sugu 'kauli ya WASSIRA, Kibanda ni nani? Ubinadamu na utu kwao ni cheo!"

mm mwenyewe serukamba aliniuza sana siku ile hivi kwanini aombi msamaha au ndo ujeuri wao ulivyo?
 
Back
Top Bottom