Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

.."infact Edward Lowassa ni mzuri,ila dola iko ccm"....
bahati mbaya mnayo hiyo dola ila akili na hekima za kuongoza hiyo dola hamna!, unajua wapi ilipo!
#nywelenyeupe!
Hamna kitu, tusemeni ukweli tu, kinachotufanya tumpende mtu fulani ni ushabiki na sio weledi wake, wewe hapo unaamini nywele nyeupe lakini huna hoja za msingi kuhusu upenzi wako kwa mzee ngoyai, ila hakika nakwambia EL hawezi kuwa rais wa nchi hii... Hilo liko wazi toka mda mrefu.
 
Hee, mbona watu wamehamasika sana na mahafali hii ya Chaso?, Naona banyamulenge wanafwatilia kwa makini kwelikweli!
 
Hizi hapa
 

Attachments

  • 1466254101970.jpg
    1466254101970.jpg
    50.1 KB · Views: 44
Wakuu naomba nitoke nje ya mada kidogo , kiukweli tukiacha majungu hizi fulana zimewapendeza sana hao vijana hadi raha ! Mijitu ya ccm imejaribu kuiga lakini wapi ! Yale mafulana yao ukivaa unakuwa kama unaenda kugombea posho ya elfu 2 tu , Hongereni sana chadema .
 
Lowasa leo kama raia wengine amafika. Mlimani city baada ya kutoka karimjee.

Kitu kizuri ni jinsi watu walivyo mlaki kwa furaha wengi wakitaka kupiga picha naye hata wengine kupiga kwa kuibia just tuu wapate picha yake.

Huyu mzee ni balaa


Fisadi Lowasa ni ego tu inamsumbua hakuna kingine!

Ni mtu anayependa sana ukubwa, sasa ukubwa umeondolewa hivyo anautafuta kwa kila hali, watu kama hawa ni shida sana nafikiri chadema ni lazima atakuwa anawaendesha sana, hata Mke wake pia lazima atakuwa anachepuka tu, kwa maana mtu anayependa attention kama mtoto mdogo kama huyu kuishi naye inahitaji moyo!
​
OTH_6079.jpg

​
 
Samahani mkuu hata kapicha kadogo ka kunogesha ....au ilikuwa #tabutupu# kama jina lako Tabutupu 🙂
 
Back
Top Bottom