Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Nalipenda ili neno,(Rais wa mioyo).. na ikulu yake ipo humohumo na madaraka yake pia humohumo..
 
lowassa anafaa kuwa mwenyekiti wa chadema, mbowe tushamchoka hana jipya tena!!
 
Ufipa mna kazi kweli kama sikio la kufa, hatuwaamin tena mnakengeuka nyie
 
Ni wengi sana ambao hatutaki hata kulisikia neno CCM masikioni mwetu....lakini hatuamini kama Lowasa ni mwana mabadiliko haswa anayeweza kututoa katika vifungo vya dhiki tulivyofungwa na CCM....kwa sababu hata yeye mwenyewe alikuwa ni mmoja kati yao na kaondoka si kwa mapenzi yake kwa sisi wanyonge bali kwa kukosa kile alichokikosa huko CCM na ndicho hicho anachokitafuta huku CHADEMA na sio kwa maslahi ya kwa taifa bali kwa maslahi ya marafiki zake wachache wanaomchangia katika kuyafanikisha hayo.........na hata hao wanaomshabikia huyo bwana hawana uhakika na uzalendo wake kwa chama wala kwa taifa ndio maana wengi wao ukiwauliza maswali magumu wanakuambia kuwa kwanza tumuondoe mdudu CCM alafu mambo mengine yatajulikana mbele mbele....sasa hayo ya mbele kwa mbele ni yapi utagundua kuwa ni kauli inayotoka kwenye kinywa cha mtu aliyekata tamaa ya maisha na yupo tayari kwa lolote......na ndugu Lowasa ameshalifahamu hilo na anautumia udhaifu huo ipasavyo.......

THINK BIG....,,

....unapiga ramli tu, unasema Lowassa ametoka ccm sababu ya kukosa alichokitaka halafu akaenda chadema ili akipate?!, nini hicho?, unakumbuka matusi yote aliyokuwa anatukanwa na watoto mliokuwa mkiwatuma ili muwape ukuu wa wilaya?,unasema Lowassa angekuwa Rais wa nchi angewanufaisha rafiki zake (ramli tu), eti kaondoka ccm sio kwa ajili ya kutunufaisha sisi wanyonge wewe ni mganga wa kienyeji tu,sijui ulioteshwa wapi nia ya Lowassa kwa nini kaondoka ccm!!

....Mimi ninao uhakika wa uzalendo wa Lowassa kwa hili taifa,kwani pamoja na kumuibia kura, bado hakuhangaika chochote kusumbuana na nyie manyangumi walafi wa madaraka,na hii yote alifanya ili sisi wanachi tuendelee kuishi kwa amani,kama angetaka kuwa chanzo cha vurugu angesababisha hizo vurugu!,

huu uminywaji wa demokrasia unaoendelea sasa hivi,pia unaonesha hekima/uzalendo wa Lowassa,kwani alimuandikia barua mkuu wa polisi kumuelewesha mambo yanavyofanywa,angekuwa sio mzalendo kwa taifa asingefanya hivyo(unajua nn angefanya)!

.....Siku zote km humpendi mtu au kitu,kuwa muwazi tu,sema simpendi huyu au kile....ila usilete vijisababu vya kitoto ku-justify chuki yako mbele ya mtu huyo.
 
Hili La TB Joshua lianzishieni uzi mzuri Tb Joshua aje Mwenyewe kujibu
 
Moshi mweupe a.k.a nywele nyeupe roho nyeupe Rais alio chaguliwa na wana nchi kabla ya miccem kupora ushindi wake kwapamoja macho karmjee
Alianza kukatwa 1995(karne ya 20), alikatwa 2015(21st century) akahamia chadema, akashindwa uchaguzi, bado nyumbu wanapayuka eti rais... Rais..!!! Acheni kumfurahisha mzee wa watu ili mle pesa yake, bado 2020 atashindwa vibaya mno.... In short Edward lowassa ni mzuri lakini asahau urais, dola iko ccm. Kama mlishindwa 2015 kipindi chama kiliyumba msahau tena...!!! Mkumbuke umri nao unasonga.
 
Alianza kukatwa 1995(karne ya 20), alikatwa 2015(21st century) akahamia chadema, akashindwa uchaguzi, bado nyumbu wanapayuka eti rais... Rais..!!! Acheni kumfurahisha mzee wa watu ili mle pesa yake, bado 2020 atashindwa vibaya mno.... In short Edward lowassa ni mzuri lakini asahau urais, dola iko ccm. Kama mlishindwa 2015 kipindi chama kiliyumba msahau tena...!!! Mkumbuke umri nao unasonga.

.."infact Edward Lowassa ni mzuri,ila dola iko ccm"....
bahati mbaya mnayo hiyo dola ila akili na hekima za kuongoza hiyo dola hamna!, unajua wapi ilipo!
#nywelenyeupe!
 
Naona afya ya Lowassa inaimarika sana sana! Na ni mwenye furaha ya ajabu.
Ni kama mtu aliyekombolewa kutoka katika utumwa wa mateso ya damu!
Utajulia wapi wewe red brigade, 2020 mshindwe tena
 
Walahi ni wazi huyu jamaa bado ana nguvu na mvuto. Hii imetokea leo baada ya kuzuru Mlimani City na kufanya manunuzi kadhaa. Lowasaa kaibua shangwe huku viwanja vya Mlimani City vikifurika kwa shangwe na wengine kutokwa machozi kwa furaa.
 

Attachments

  • 1466253698476.jpg
    1466253698476.jpg
    50.1 KB · Views: 93
  • 1466253712339.jpg
    1466253712339.jpg
    62.1 KB · Views: 65
  • 1466253723922.jpg
    1466253723922.jpg
    50.8 KB · Views: 57
  • 1466253735179.jpg
    1466253735179.jpg
    52.7 KB · Views: 52
  • 1466253747219.jpg
    1466253747219.jpg
    53.9 KB · Views: 49
Back
Top Bottom