Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Mbowe, viongozi wa ukawa woote, wakafanye kazi kwa pamoja
 
MBOWE anasema watahakikisha kuwa UKAWA inadumu kwa vile bila UKAWA hakuna chadema tena
 
Programu za CHADEMA ni za kitapeli,
Ngapi zimeshapita na CCM bado imesimama imara?

Siku akili zikiwarudia mtagundua hili.
Mkuu, hata mie nimeliona hilo. Hii inaitwa ni Uzinduzi wa Programu ya CHADEMA Mtandao, ila anachoongea Mbowe hakireflect kinachojiri leo
 
Mheshmiwa mbowe anawataka watz wawe tayari kutumika
 
Mujiandae kisaikolojia atakapokuja mitaani...maana ni mlango kwa mlango, geti kwa geti..

Haaaaa nimeipenda hiyo yaan sasa hivi kampeni ni kichwa kwa kichwa,kitanda kwa kitanda,shuka kwa shuka!usicheze na ukawaaaa
Peoples powerrrrrrrrr
 
"Watanzania wamekuwa wakikosa kuwaamini viongozi wao kutokaka na kushindwa kusimamia rasilimali zao"
 
Mbowe anastahili kuwa Rais wa Tanzania,, maneno yake yamejaa busara na hekima ya hali ya juu.... Ama kweli Chadema ina watu waliojaa uzalendo wa hali ya juu
 
Mkuu, hata mie nimeliona hilo. Hii inaitwa ni Uzinduzi wa Programu ya CHADEMA Mtandao, ila anachoongea Mbowe hakireflect kinachojiri leo
Tulieni....Dr. Slaa amesema ndo tunaanza..

Mlango kwa mlango, geti kwa geti...mjiandae kisaikolojia..
 
CHADEMA hamuwezi kuchukua nchi kwa kuwatumia wahuni kama akina SUGU.

CCM bila polisi hamshindi hata kitongoji. Ila kwasababu serikali ya CCM inawawezesha polisi kula rushwa,lazima waisadie kukandamiza upinzani maana wanajua upinzani ukiingia ndiyo itakuwa mwisho wao kula rushwa. Serikali ya CCM inafadhili na kulea maivu mengi sana ili tu iendelee kuwepo madarakani. Hata wauza unga ni wafadhili wa CCM.
 
Kwenye huo mkutano , watu maarufu kama wazee, viongozi wastaafu wa serikali wapo kweli? Naona vijana wa kihuni tu
 
Mh mwenyekiti anasifu ccm kwa kuweka misingi ya haki na uhalali kwa wawekezaji na wafanyabiashara
 
Back
Top Bottom