Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

enyi mabwege hebu mnapopost mtoe mchanganuo wa hizo gharama za saa 1 hewani na ulinganishe na hizo shule..au una maana yale madarasa ya chini ya mibuyu.?
 
Mimi nimetoka Dodoma, na niko ndani ya ukumbi.

System ya ccm iko vizuri sana jamani ndani ya Tanzania.
 
Gharama inayotumika kurusha matangazo ya chadema itv na vyombo vingine vya habari kwa saa moja ni sawa na kununa madawa ktk hospitali za rufaa na wilaya kote nchini. Ni sawa na kujenga shule 20 za sekondari kusomesha yatima na maskini nchini, je chadema haina uchungu kwa watz wanaokosa elimu kwa kukosa shule? Wanaokufa kwa kukosa madawa? Kweli hii ni timu madaraka

Wewe mburura kweli!!!! gharama za rais kwenda China kupewa uprofesseri kiasi gani?
Gharama zs kukimbiza mwenge nchi nzima shilingi ngapi?
Chadema hawaongozi serikali na hawana mkataba na watanzania kuwapa huduma hizo hadi mwaka 2015.
 
Hii kauli sijui wenzangu mmeilewaje kutoka kwa huyo Salim Mwalimu live ITV
 
Gharama inayotumika kurusha matangazo ya chadema itv na vyombo vingine vya habari kwa saa moja ni sawa na kununa madawa ktk hospitali za rufaa na wilaya kote nchini. Ni sawa na kujenga shule 20 za sekondari kusomesha yatima na maskini nchini, je chadema haina uchungu kwa watz wanaokosa elimu kwa kukosa shule? Wanaokufa kwa kukosa madawa? Kweli hii ni timu madaraka

Leo unaw.a.shwaaaaa.....kila kona ngoja na hii wanaifuta sasa.
 
Weka mchanganuo tuweze kuona kwa ITV na TBC then tuweze kuchangia
 
mfumo waaliyetayari kuchangia ataweza hata kufuatilia alichochangia, akitaka kutajwa atajwa na kaisi chake, akitaka kiwe siri basi kiwe siri, wataheshimu hilo hawatakutangaza
 
Mimi nimetoka Dodoma, na niko ndani ya ukumbi.

System ya ccm iko vizuri sana jamani ndani ya Tanzania.

Hauna nafasi hata kama ungekaa kiti cha mbele ,UKAWA ni mpango wa Mungu.
 
Gharama inayotumika kurusha matangazo ya chadema itv na vyombo vingine vya habari kwa saa moja ni sawa na kununa madawa ktk hospitali za rufaa na wilaya kote nchini. Ni sawa na kujenga shule 20 za sekondari kusomesha yatima na maskini nchini, je chadema haina uchungu kwa watz wanaokosa elimu kwa kukosa shule? Wanaokufa kwa kukosa madawa? Kweli hii ni timu madaraka

....dadadek kiumbe kinataga mapacha !!!
 
Wanawivu hawa wana ccm cjui wakoje mbona bosi wao anarusha masaa zaidi ktk ngonjera zao hatuyaoni
 
Mmeshikwa pabaya!! Najua Ifweero hapo ulipo usingizi umegoma kwa maumivu ya moyo. Sio nyie juzi kati Idara yenu ya uenezi imepitisha bajeti ya TShs Bilioni 3?? Tulia upewe dozi upone. Hata ukilia, bakora lazima ucharazwe
 
Na gharama anazotumia baba ako kuruka hewani kila siku kufuata cm za bure ni sawa na kununua mitambo 20 ya kupima figo na madawa yake ambayo hakuna ktk Hosp za serikali
 
Back
Top Bottom