Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Kwahyo ccm mnakiri nchi hii kuna watanzania wanakufa njaa, wanakosa huduma za matibabu n.k?
Mukulu ashasema akiwa China kwamba kachoka.
Mukulu ashasema akiwa China kwamba kachoka.
Zitto anapopishana na gari la mshahara
Salim Mwalimu yuko vizuri anaweza
Umetumwa kufanya nini sasa .........Mimi nimetoka Dodoma, na niko ndani ya ukumbi.
System ya ccm iko vizuri sana jamani ndani ya Tanzania.
Gharama inayotumika kurusha matangazo ya chadema itv na vyombo vingine vya habari kwa saa moja ni sawa na kununa madawa ktk hospitali za rufaa na wilaya kote nchini. Ni sawa na kujenga shule 20 za sekondari kusomesha yatima na maskini nchini, je chadema haina uchungu kwa watz wanaokosa elimu kwa kukosa shule? Wanaokufa kwa kukosa madawa? Kweli hii ni timu madaraka
Presha itakuua usiku huu , kunywa maji.......Tunawapa cdm siku tatu, hii system tutakuwa tuna access nayo bila shida.
Binafsi nilijua ni ishu ngumu kweli, uzuri TCRA ni wakwetu...so iko easy sana
teh teh, hiyo ndo cdm bhana!
Zito alidhani ni spesho sana
Zito alidhani ni spesho sana