Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Gharama inayotumika kurusha matangazo ya chadema itv na vyombo vingine vya habari kwa saa moja ni sawa na kununa madawa ktk hospitali za rufaa na wilaya kote nchini. Ni sawa na kujenga shule 20 za sekondari kusomesha yatima na maskini nchini, je chadema haina uchungu kwa watz wanaokosa elimu kwa kukosa shule? Wanaokufa kwa kukosa madawa? Kweli hii ni timu madaraka
Akili yako ndogo sana DADA. Hivi umeshawahi kutumia (kununua madawati, n.k) bila kutafuta hiyo pesa ya kununulia hayo madawati? Umeshawahi kufaulu mtihani bila kusoma au kuhudhuria vipindi?
 
Inawezekana hiyo harambee imeandaliwa na Mengi. Si unajua tena wachaga wameamua kuungana kutengeneza kiota chao!!! Wakuwasikitikia ni wale wenzangu na mie wasiojitambua na kuamua kuijenga empire ya kazkazini wakati kwao kusini. Yani ni sheedah...
we ni kichaa
 
Hivi kuna wajinga bado wanadanganywa na MBOWE na kutuma fedha zao?
 
Ni wajibu wa serikali kutoa huduma za jamii kwa kuwa ndiyo yenye wajibu kisheria kukusanya kodi kwa maendeleo ya nchi yetu SIO CHADEMA WALA UKAMA. HAWA HAWATOZI KODI YA MAENDOLEO... Mtoa mada unalotatizo la uelewa, ukereketwa wa kupita mipaka kwa chama tawala... au huenda umelewa MADARAKA..
 
pay link
kuna opes
g5
ni makampuni yaliyotengeneza mfumo
 
ccm mtaandika mengi sana leo JK amesema akiwa china ameshachoka
 
Gharama inayotumika kurusha matangazo ya chadema itv na vyombo vingine vya habari kwa saa moja ni sawa na kununa madawa ktk hospitali za rufaa na wilaya kote nchini. Ni sawa na kujenga shule 20 za sekondari kusomesha yatima na maskini nchini,...
Hela za CHADEMA ni kwa ajili ya CHADEMA. Hela za kununulia madawa na kujenga shule zimekusanywa na serikali kupitia kodi mbalimbali na rasilimali tulizo nazo. Hela hizo zipo hazina, na kama hazipo basi zimesafirishwa na wazee wa vijisenti kwenda Uswisi. CHADEMA wala haitakiwi kuchangia hata dawati moja kwa kuwa wafuasi wake tayari wameshakatwa kodi na wazee wa vijisenti wanalijua hilo! Ndio maana hata michango ya ujenzi wa maabara hatutachangia kwa kuwa tayari tumeshachangia kupitia kodi
 
Back
Top Bottom