Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Nimeelewa leo kwanini Freeman Mbowe anawindwa kama digidigi! Huyu jamaa anamaneno mazito sana,ni mwiba kwa watawala huyu jamaa.
 
Full list ndani ya tour.Safi sana,magamba lazima waachie
 
Mbowe anasema, kama kuna msaliti katika ukawa ni bora akusanye vyake aishie
 
Ni hatari kwa taifa kuendelea kuruhusu CCM kuongoza taifa hili miaka mingine mitano .....Mbowe ...
 
Back
Top Bottom