Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,168
Mbowe anadhani watanzania wote ni wajinga kama misukule wa CHADEMA.
tutaipigia kura katiba mpya na hakuna NYANI yeyote kutoka UKAWA mwenye uwezo wa kuzuia hilo.
Huyu jamaa mjinga sana.
Tunachokifanya ni kutoa elimu kwa wananchi hakuna mtu atalazimishwa kupiga kura ya ndio au hapana dhidi ya katiba ya Sitta na CCM iliyoandikwa chini ya mzee wa vijisenti-Chenge.