Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Naona vijana wa buku saba wanajaza server tuu hapa! Full jamba jamba
 
Ninesha load m-pesa,nasubiria maelekezo ni send.Peopleeeez.......
 
Umeona eeeeeh! Wanaboa sana akina Sugu.

hahaha!! wanaboa for-sure, ila cha kufanya ni kuwacha kuangalia. mie nipo zangu chumbani nafuatilia mpambano JF. btw unamuonaje mke wa mbatia? uuh!! mrembo eeh.
 
Wahuni akina sugu, et al wamepewa nafasi kutoa lugha za kihuni mbele ya kadamnasi, mbele ya watz. Ndio mana wengi wanaita chama hiki cha wasanii na waganga njaa. Kundi la walioshindwa..
 
Mkuu, mie nabaki nacheka tu. CHADEMA wanatumia ukawa kwa malengo yao. Soon akina mbatia watashtuka

Hata Wasira na CCM pamoja na wapiga domo wake wooote walisema Chadema itakufa kabla ya uchaguzi wa 2015,sababu ya muunganiko wa vyama hivi ni ngumu sana kuvunjika kwa dhana kama hizi zako.
 
angalieni ch ten muone wazalendo achaneni na mradi wa mtei
 
Subiri wakusikie Wadau, uone watakavyokushambulia
 
Hahahaha Sugu kwakweli ni muhuni sana hadi anatia aibu sana!
 
Hahahahaaa sugu ahasanteeeeee ukiwa mwanachama wa CHADEMA raha sana jmn
 
Back
Top Bottom