Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Ma CCM yanachangia thread hii huku yakiwa yanaumia sana. Poleni sana. Mjikaze hadi mwisho. CHADEMA tunawathamini wataalamu wetu na tunawatumia kukijenga chama.
 
Hakika naisubiri sana hii tour kwa hamu kubwa kama nusu ya ujio wa masihi wa imani ya dini fulani!. >>karibuni makamanda wa kweli mr.ii 'sugu' na profesa jay wa mitulinga,vijana wakubwa kwa wazee tumechoka na wizi,uhuni na ufedhuli wa c.c.m.
 
Mipango ya chadema

ni mipango mitatu

tatizo kubwa la nchi hii ni raia kuwa na hofu ya kuunga mkono upinzani, watu hasa wafanya biashara hawana amani, wanadhani kuwa kwa kuwa ccm basi watakuwa salama.. Wanajidanganya
 
Freeman anasema ukweli mtupu kuna wafanyabiashara wameiweka serekali ya ccm mfuko na mwisho wao unakuja soon
 
Huhitaji mungu/malaika akuaambie ccm imechoka rais kasema amechoka live...sasa wewe unasubiri nini
 
Mbowe ameshalewa Konyagi, anaongea asichokiamini.
mbowe.jpg
 
Jk:nimechoka kuongoza tanzania acha nikapumzike na chama changu huu ni wakati wa Ukawa
 
Back
Top Bottom