Yaliyojiri Club na Erickb52

Yaliyojiri Club na Erickb52

mbona unaniforce?sitaki sasa.Paka mweupe wako anakungoja,halafu umeaga zaidi ya mara tatu mbona huondoki?
Hahahahaaaa kajamaa kamegoma kumfuata paka mwenzake wakati anangojwa lol
 
hao wa bavaria ndio wabaya utajua ni msafi kidogo kumbe ni mbwa koko..

Wengine wanakunywa bavaria ili waonekane wapo juu...ukijiroga kumuingia tu,hutakiwi kucheza mbali na vinywaji vya bei hiyo. Sasa kama umekuja na tshs zakutoshea soda lazima ujute!!!
 
Wengine wanakunywa bavaria ili waonekane wapo juu...ukijiroga kumuingia tu,hutakiwi kucheza mbali na vinywaji vya bei hiyo. Sasa kama umekuja na tshs zakutoshea soda lazima ujute!!!
Teh ila hadi uende club lazma ujibebee hata vidolali vya kutosha kidogo
 
jibu kwanza ujibiwe.Mpambano wa watu wawili wee unataka kuingilia kama nani?lol., Au mshindano umekuwa wa mapaka wote?

Kwani CC ni ya watu wawili?
Acha mawazo yako ya kijuha wewe.
Ndo nyie mnaofukuza watu jukwaani eti kisa mpo watu wa Arusha ktk thread.
 
Duhh mkuu unamoyo kweli! Bahati kama hiyo mi huwaga naitafuta sana yani mpaka m2 ana kutingishia wowowo? Una moyo wachuma mkuu! Alafu mina hic huyo alikua snowwhite
 
Kwani CC ni ya watu wawili?
Acha mawazo yako ya kijuha wewe.
Ndo nyie mnaofukuza watu jukwaani eti kisa mpo watu wa Arusha ktk thread.

hahahahahahahahaha Arusha imetokea wapi sasa? Inaelekea inakunyima sana usingizi
 
Hata hivyo sijawahi kuwa na interest na hao watu na sitaweza hata siku moja....!
Mi huwa naenda zangu hasa nikiboreka tu kama jana na nilikuwa mwenyewe coz Filipo Mungi LiverpoolFC na IGWE walikuwa mbali nikaona uvivu kuwafuata!

tatizo lako ulikuwa mwenyewe afu unawaangalia madenti wanakunywa savana
 
Huyo mkaka alokuwa anabinua kiuno ndo Chimbuvu kama unamskia, si unajua tena wakongo kwa ndombolo na kibinda nkoi
 
Last edited by a moderator:
Duhh mkuu unamoyo kweli! Bahati kama hiyo mi huwaga naitafuta sana yani mpaka m2 ana kutingishia wowowo? Una moyo wachuma mkuu! Alafu mina hic huyo alikua snowwhite
Heheheheeheeee uje tu mbona hizo sio bahati bali balaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom