St. Paka Mweupe
Member
- Oct 13, 2012
- 58
- 49
paka kakasirika haya sasa..mpambano umeanza
Nami naingilia.
paka kakasirika haya sasa..mpambano umeanza
Paka hawagusi wanakwaruza na kuchanja kwa kucha zao..
dah maneno yako yamenisisimua sana hapa natetemeka tu hebu ntafute koti
Nami naingilia.
Hahahahaaaaaa hata mimi enzi zangu zishaanza kuisha MtambuziMie ingekuwea enzi zangu, nishasongesha kitaaambo
mwe mwe mwe mwe
wewe ndo nani tena?
Good mpe vidonge mamama mpeeeeee za uso mpe na za makor.......dani hadi akae heheheee
Na we ndo nani?
Dah piga kimya hata Eliza nae ashangae
Poa basi tutaonana kwenye ka TMK
Haya sawa nakubali ila kumbuka mi ni b52 na ndio liliimaliza Iraq enzi za sadam oooooh angalia sana kijana mi noma eti shauri yako
basi hiyo sehemu inakwaruzwa na vitu vilaini so na hayo makucha hell no.
Hahahahaaaaaa hata mimi enzi zangu zishaanza kuisha Mtambuzi
Nawaachia akina Nicas Mtei wakomae na hao wenzao