Yaliyojiri Club na Erickb52

Yaliyojiri Club na Erickb52

Si ndio maana mimi nimeishia kucheka tu,ni Erickb52 huyuhuyu ninayemfahamu mimi au kaazimisha password yake kwa mtu

Umeona eh? Huyu dogo na machangu ni sawa na Padre na Sakramenti afu anatuletea uzushi wake hapa.

Afu oyaaa kuna linyau lenzio linaitwa St. Paka Mweupe liko on heat linatafuta bwana. Umeliona au ndo ushazeeka tena?
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli HEARTnilimaanisha kope lol huwa nazichanganya sana lol

Usijali uzuri nimekuelewa...ila inaelekea ume-enjoy sana otherwise wala usituhadithia yote haya.. Mambo ya club matamu especially ukiwa na company ya kutosha..
 
Last edited by a moderator:
ulienda club gani?mimi nilikuwa olduvai karibu na kibo palace ni wazungu tu pale wanacheza kwa kurukaruka
Hahahaaa pale huwa naenda nikimiss Pop koni
Au kama kuna mpira mzuri
 
ulienda club gani?mimi nilikuwa olduvai karibu na kibo palace ni wazungu tu pale wanacheza kwa kurukaruka

Huyo hata akienda klabu za mbege au komoni, yeye anasema yuko club.

Stuka Kabakabana... Think!
 
Last edited by a moderator:
Umeona eh? Huyu dogo na machangu ni sawa na Padre na Sakramenti afu anatuletea uzushi wake hapa.

Afu oyaaa kuna linyau lenzio linaitwa St. Paka Mweupe liko on heat linatafuta bwana. Umeliona au ndo ushazeeka tena?

hii haya ya mwisho.. ????????????????????
 
Last edited by a moderator:
Usijali uzuri nimekuelewa...ila inaelekea ume-enjoy sana otherwise wala usituhadithia yote haya.. Mambo ya club matamu especially ukiwa na company ya kutosha..
Yah jana nilikuwa mwenyewe ndio maana nikaweza kunotice haya otherwise huwa siyaoni kabisaa nashangaa jana ndio nimeona labda kwa kuwa nilikuwa mwenyewe sina ubusy wa story
Ila nilienjoy kuwaenjoy watu
 
Umeona eh? Huyu dogo na machangu ni sawa na Padre na Sakramenti afu anatuletea uzushi wake hapa.

Afu oyaaa kuna linyau lenzio linaitwa St. Paka Mweupe liko on heat linatafuta bwana. Umeliona au ndo ushazeeka tena?
Hahahahaaaa eti linajiita LINYAU JIKE lol sijui limetoka wapi
 
hao wa bavaria ndio wabaya utajua ni msafi kidogo kumbe ni mbwa koko..
Hata hivyo sijawahi kuwa na interest na hao watu na sitaweza hata siku moja....!
Mi huwa naenda zangu hasa nikiboreka tu kama jana na nilikuwa mwenyewe coz Filipo Mungi LiverpoolFC na IGWE walikuwa mbali nikaona uvivu kuwafuata!
 
Last edited by a moderator:
Yah jana nilikuwa mwenyewe ndio maana nikaweza kunotice haya otherwise huwa siyaoni kabisaa nashangaa jana ndio nimeona labda kwa kuwa nilikuwa mwenyewe sina ubusy wa story
Ila nilienjoy kuwaenjoy watu

kuwa mwenyewe poa kweli maana unaenjoy vimbweka balaa..
 
ndetichia ndio nilikuwa namuambia HEART kuwa ningekuwa na watu nisingeona vibweka coz hata sisi tungekuwa tunamwaga vibweka balaa heheheeheheee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom