ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
nimemsahau filipo tena yeye angekuwepo hapo angekufanya ugande na kumkosea Muumba wako bure si yeye amesema umalizie au sio yeye?
amalizie nini na wakati ameshajieleza kuwa alitoka nakwenda kulala kwani hujamuelewa wewe? acha kumdadisi mwenzio na tena usimdadisi kaka yangu hivyo weee acha nasema acha kabisa
The secretary acha wivu mwache anitake tuunamtaka Erickb52?