Yaliyojiri Club na Erickb52

Yaliyojiri Club na Erickb52

basi kuna mtu anasema wewe sio kaka yangu na wakati wewe ndo ulitoka duniani wa first na kisha sie ameniuzi ni secretary huyo
 
Mr. Rocky unampakazia kaka yangu bure ana mtu huko na alikwenda yeye peke yake kwani ssisi nduguze home tunajua kabisa wewe acha kumpakazi kaka yangu bure tena acha hiyo tabia nitakuchukulia sheria na kufungua jalada lako wewe hata kama kaka yangu erickb52 ni mkimya mm nitado kwa ajili yake weee!!

ladyfurahia naona umeamua kumtetea Erickb52
Dah kweli umeamua ila huyu ni ndugu yangu sana na mengi ya kwake nayajua na kwa taarifa yako jana aliondoka na mtu jana na ninajua mpaka alipoenda kumaliza mambo yake.
@
 
Last edited by a moderator:
Umeanza kwa ukweli ukamalizia kwa uongo.

Anyway tudanganye japo kiduchu, ulitumia condom?
Asprin hahahha asingeweza mana kushoto kuna huyu
434_289145524538755_994798565_n.jpg
na akigeuka kulia anakutana na style hii hapa kwanini asitoke dima
599147_289332001186774_1821263267_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
ladyfurahia naona umeamua kumtetea Erickb52
Dah kweli umeamua ila huyu ni ndugu yangu sana na mengi ya kwake nayajua na kwa taarifa yako jana aliondoka na mtu jana na ninajua mpaka alipoenda kumaliza mambo yake.
Mr Rocky sio kila mtu ana chuki na mimi
Wewe na wenzako mnamnileteaga majungu ila nashukuru wadada wote hawaniachi peke yangu
 
Last edited by a moderator:
chako kimezidi mana mpaka ukashindwa kutofautisha nyusi na kope inaonesha ulikua mzuka mbaya
Hahahahaaaaa ila kiukweli nilistaajabu sana
Ninaonaga mnatinda nyusi ila sio kuunga Kope dah
 
acha hivyo wewe hana mtu kaka yangu acha kumpakazia jamani nyie mnamkosea muumba jamani na ndo mana post kitu kule kwamba nyie wanaume ni wambeya sana hata erickb52 akitoka na mtu kuna ubaya gani acha hiyo tabia ya kupakana matope bhana Mri Rocky
 
yaani ujakosea kabisa wameniuzi sana wanataka kutugombanisha sie jamani watu wengine bhana
nimeshaachana nao mm kaka.
 
sasa hii ni kali CUTE yaani umeona utuonyeshe mambo haya bhana
 
acha nami nitoe kitu hii hapa hebu angalia MR ROCK, NITONYE, TRACHOMATS ona hapa:
 
Attachments

  • miguu.jpg
    miguu.jpg
    200.8 KB · Views: 28
acha hivyo wewe hana mtu kaka yangu acha kumpakazia jamani nyie mnamkosea muumba jamani na ndo mana post kitu kule kwamba nyie wanaume ni wambeya sana hata erickb52 akitoka na mtu kuna ubaya gani acha hiyo tabia ya kupakana matope bhana Mri Rocky

hawezi kua na mtu kwa mtindo huu jamani kha! mana yy hajui tofauti ya ua na mchicha aagah!
525867_285865564866751_751120768_n.jpg
 
Dah ladyfurahia duh balaa. Unamtetea mtu kama Erickb52 ambaye anajulikana chitchat nzima kwa kutembea na wake za watu.
Tena amevunja ndoa nyingi sana za watu humu
Duh Erickb52 mi sina matatizo na wewe kutetewa na wadada ndo zako bana nakujua ni mdhaifu sana kwa wadada
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom