imeniogopesha sana na kunihuzunisha sana kuwa wateule wa Rais wakiambiwa wanaenda kushtakiwa kwa Rais wanafurahi, ni jambo la ajabu na aibu kwa Rais wa taifa letu.
Enzi za Mwl Nyerere, mtumishi akisikia anaitwa na Mwalimu alikuwa anaomba ardhi ipasuke aingie ndani but huyu Rais wetu wanamchukulia poa tu maana wanajua hawezi kuwafanya lolote.
Kama kuna namna ya kufanya mawasiliano nao bila wao kujua identify yangu mkuu , naomba unijuze na mimi nichangie vifo vya baadhi ya mafisadi.Pale magomeni mapipa kuna genge la wauwaji linaloundwa na wakurya na gharama yao kuondoa kichwa ni laki tano tu deposit laki 3.
Nadhani sasa imetosha vichwa kama vya watu wa aina ya Chenge ni wakati muhafaka sasa vikabidhiwe kwa genge hili hata kwa gharama ya millioni 10 kwa kila kichwa tumeshawachoka sasa hawa siyo binadamu tena na wanastahili kuuwawa tu tena kukatwa vichwa.
Haondoki MTU.
Zito alikuwa sahihi kabisa,kunamtego zito aliwatega wale wote waliokuwa hawataki pinda nae awajibishwe na raisi.makinda aligundua kapigwa chenga akachomoa.zito alishapiga chenga ya kisigino pale
Nchambi anatupa mhadhara wa dini. Kwa kweli kuishabikia ccm saa ingine ni aibu sana.
iphone5 (simu za mkononi 2 zimepotea ndani ya ukumbi wa bunge) kama kuna mtu anazo tunaomba azipeleke kwenye ofisi ya ulinzi ya bunge.
Kama kuna namna ya kufanya mawasiliano nao bila wao kujua identify yangu mkuu , naomba unijuze na mimi nichangie vifo vya baadhi ya mafisadi.
Sijawahi kuona kamati inaoendekeza Waziri atenguliwe uwaziri wake halafu wanapoulizwa watu ananyanyuka mtu anasema huyu hana makosa hata chembe anasema kifungu chote kinachomtuhumu kifutwe, wanakamati wote wanakubali inapigwa kura kifungu kinachomtuhumu kifutwe.
Sasa kama kulikuwa kuna majadiliano mpaka mwisho mkaona ana tuhuma kwanini mfute mapendekezo yenu wakati wa kura?
Hilo moja tu lilitosha kuuona kuwa hili sakata lote halina maana na ni majungu tu.
Ashutumiwe, ujadiliwe, bado kamati inakuona una hatia. Ikifika wakati wa kura? wote wanasema hauna kosa!
Mliona wapi hiyo?
Huu ni ujinga wa hali ya juu.
sijawahi kuona kamati inaoendekeza waziri atenguliwe uwaziri wake halafu wanapoulizwa watu ananyanyuka mtu anasema huyu hana makosa hata chembe anasema kifungu chote kinachomtuhumu kifutwe, wanakamati wote wanakubali inapigwa kura kifungu kinachomtuhumu kifutwe.
Sasa kama kulikuwa kuna majadiliano mpaka mwisho mkaona ana tuhuma kwanini mfute mapendekezo yenu wakati wa kura?
Hilo moja tu lilitosha kuuona kuwa hili sakata lote halina maana na ni majungu tu.
Ashutumiwe, ujadiliwe, bado kamati inakuona una hatia. Ikifika wakati wa kura? Wote wanasema hauna kosa!
Mliona wapi hiyo?
Huu ni ujinga wa hali ya juu.
Mkuu Nguruvi3,Wao husema kazi ya bunge ni kuisimamia serikali.
Sasa unaposimia na kupendekeza, sijui wanasimamia nini.
Mkuu, hili suala nimelizungumzia kwenye uzi wa Mwanakijiji na Pasco.
Nilisema kuwa hakuna standard hapa nchini. Tunasheria za mwituni
Nikahoji, mara ngapi serikali imeingilia mamlaka ya mihimili mingine bila watu kupiga kelele.
Nilitoa mifano ya kutosha, nilisema hivyo ili isitumike hoja ya bunge kuingilia mhimili wa mahakama.
Nadhani tunaona sasa yanayotokea.
Kwa upande mwingine, wabunge wa CCM wana unafiki. Warioba alitengeneza mambo yawe safi katika rasimu.
Ni hao hao CCM wanaopinga ndio leo wanabanwa kwa kutumia katiba ya 1977 ambayo CHENGE ameidurusu na sasa inasulkumizwa kwa wananchi.
Wananchi nao wajifunze, na hili liwe la kuanzia. Wajue CHENGE haandiki katiba ya wananchi.
Chenge ameandika katiba ya kuwalinda mafisadi.
Na leo mtu aliyeshiriki vitendo vya wizi zaidi ya mara 2 eti anatoa ushauri kwa serikali. OMG!
Kesho wananchi wanaambiwa wajadili Rasimu ya Chenge! eti wakubali au la.
Mumeona jinsi Chenge anavyomiliki nchi.
Wananchi endeleeni kujadili katiba ya CHENGE mkitegemea matokeo tofauti na tunayoona sasa.
CC
Mag3 Mchambuzi zumbemkuu JokaKuu Pasco EMT
Upo sahihi , humu tunapumzikaga tu.Hahahaa
Mkuu mi huku nilipumzika kuchangia nikawa msomaji tu hawa lumumba siwapendi...bt politics ndo ilinifanya nijiunge jf