Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

pongezi kwa kwako mbowe. Aibu yote iende kwa haya mamizigo na tabia zao za kuteteana
 
imeniogopesha sana na kunihuzunisha sana kuwa wateule wa Rais wakiambiwa wanaenda kushtakiwa kwa Rais wanafurahi, ni jambo la ajabu na aibu kwa Rais wa taifa letu.
Enzi za Mwl Nyerere, mtumishi akisikia anaitwa na Mwalimu alikuwa anaomba ardhi ipasuke aingie ndani but huyu Rais wetu wanamchukulia poa tu maana wanajua hawezi kuwafanya lolote.


Haha,

Kwa upande mwengine PAC na wabunge inabidi wajipongeze, yani wamekuwa wakali na waadilifu kuliko mkuu wa nchi.

Kupelekwa kwa JK ni sawa na Kesi ya Nyani kumpelekea Ngedere. Mk.were kweli hana Haya, yani kila mtu anajua jamaa ni mpiga dili na dhaifu, ndio maana ni kimbilio la mafisadi,wezi,wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, matapeli na kila aina ya watu wachafu TZ.

Mwalimu alikuwa Kiongozi, JK ni pazia.

Hivi unafikiri President angekuwa mwalimu Chenge angethubutu kuomba watuhumiwa kupelekwa kwa mamlaka iliyowateua?thubutuuuu. Angeomba hata PAC wamchape viboko pale bungeni yaishie humohumo.


Kilichotokea jana ni sawa na mtuhumiwa wa wizi kumng'ang'ania polisi mikononi mwa wananchi wenye hasira, au mwizi kukimbizwa anakimbilia police post.Anajua bora huko kuna uwezekano wakuhonga atoke. kuliko mikononi mwa wataka haki.
Zitto
 
Last edited by a moderator:
Acha hizi kwa sasa mkuu,

Wote wenye mapenzi mema kwa taifa tunaelekeza fikra zetu dodoma kuangalia issue hii inaishaje,

Wabunge wazalendo huu ndio muda wa kuhesabiwa,,
 
Pale magomeni mapipa kuna genge la wauwaji linaloundwa na wakurya na gharama yao kuondoa kichwa ni laki tano tu deposit laki 3.

Nadhani sasa imetosha vichwa kama vya watu wa aina ya Chenge ni wakati muhafaka sasa vikabidhiwe kwa genge hili hata kwa gharama ya millioni 10 kwa kila kichwa tumeshawachoka sasa hawa siyo binadamu tena na wanastahili kuuwawa tu tena kukatwa vichwa.
Kama kuna namna ya kufanya mawasiliano nao bila wao kujua identify yangu mkuu , naomba unijuze na mimi nichangie vifo vya baadhi ya mafisadi.
 
Zito alikuwa sahihi kabisa,kunamtego zito aliwatega wale wote waliokuwa hawataki pinda nae awajibishwe na raisi.makinda aligundua kapigwa chenga akachomoa.zito alishapiga chenga ya kisigino pale

Aliyemuelewa zitto wakati ule ni wenje na mdee......zitto mjanja sana
 
Kama kuna namna ya kufanya mawasiliano nao bila wao kujua identify yangu mkuu , naomba unijuze na mimi nichangie vifo vya baadhi ya mafisadi.

Makundi kama ISI ya Iraq na Syria hayakuanza kwa bahati mbaya watu kama Chenge hapaswi kuuwawa kwa risasi wala sumu bali wanapaswa kuuwawa kwa kukatwa vichwa hawa ni zaidi ya wauwaji kwa matendo yao.
 
Sijawahi kuona kamati inayopendekeza Waziri atenguliwe uwaziri wake halafu wanapoulizwa watu ananyanyuka mtu anasema huyu hana makosa hata chembe anasema kifungu chote kinachomtuhumu kifutwe, wanakamati wote wanakubali inapigwa kura kifungu kinachomtuhumu kifutwe. Kinafutwa chote.

Sasa kama kulikuwa kuna majadiliano mpaka mwisho mkaona ana tuhuma kwanini mfute mapendekezo yenu na azimio lenu wakati wa kura?

Hilo moja tu lilitosha kudhihirisha kuwa hili sakata lote halina maana na ni majungu tu.

Ashutumiwe, ajadiliwe, bado kamati inakuona una hatia na inawasilisha azimio uenguliwe Unaibu Waziri, ikifika wakati wa kura? wana kamati wote wanasema hauna kosa!

Mliona wapi hiyo?

Huu ni ujinga wa hali ya juu.
 
Sijawahi kuona kamati inaoendekeza Waziri atenguliwe uwaziri wake halafu wanapoulizwa watu ananyanyuka mtu anasema huyu hana makosa hata chembe anasema kifungu chote kinachomtuhumu kifutwe, wanakamati wote wanakubali inapigwa kura kifungu kinachomtuhumu kifutwe.

Sasa kama kulikuwa kuna majadiliano mpaka mwisho mkaona ana tuhuma kwanini mfute mapendekezo yenu wakati wa kura?

Hilo moja tu lilitosha kuuona kuwa hili sakata lote halina maana na ni majungu tu.

Ashutumiwe, ujadiliwe, bado kamati inakuona una hatia. Ikifika wakati wa kura? wote wanasema hauna kosa!

Mliona wapi hiyo?

Huu ni ujinga wa hali ya juu.

Only in Tanzania chini ya serikali dhaifu
 
sijawahi kuona kamati inaoendekeza waziri atenguliwe uwaziri wake halafu wanapoulizwa watu ananyanyuka mtu anasema huyu hana makosa hata chembe anasema kifungu chote kinachomtuhumu kifutwe, wanakamati wote wanakubali inapigwa kura kifungu kinachomtuhumu kifutwe.

Sasa kama kulikuwa kuna majadiliano mpaka mwisho mkaona ana tuhuma kwanini mfute mapendekezo yenu wakati wa kura?

Hilo moja tu lilitosha kuuona kuwa hili sakata lote halina maana na ni majungu tu.

Ashutumiwe, ujadiliwe, bado kamati inakuona una hatia. Ikifika wakati wa kura? Wote wanasema hauna kosa!

Mliona wapi hiyo?

Huu ni ujinga wa hali ya juu.

kamati na bunge lilichemka kukubali kubadili azimio la kwanza,for the first time nimemuona lissu akiteleza
 
Me sishangai sana kwa macho yangu nimeona na masikio yangu nimesikia jinsi wachangiaji wa kike walivyokua wanachangia na kutia aibu wanawake wenzao huyo SPIKA yeye kaja kumalizia yale matapishi yaani kaja kuonyesha kuwa wanawake wote waliomo mule ndivyo walivyo, alafu mnaleta habari ya 50/50 huu ni upuuzi kabisa na Mungu atatulaani hiyo 50/50 ikiruhusiwa
 
Ngoja kwanza nikajiandikishe!
Jamani kujiandikisha mwisho leo!
Tuanzie hapo kwanza kuwatoa hawa wezi
 
Wao husema kazi ya bunge ni kuisimamia serikali.
Sasa unaposimia na kupendekeza, sijui wanasimamia nini.

Mkuu, hili suala nimelizungumzia kwenye uzi wa Mwanakijiji na Pasco.
Nilisema kuwa hakuna standard hapa nchini. Tunasheria za mwituni

Nikahoji, mara ngapi serikali imeingilia mamlaka ya mihimili mingine bila watu kupiga kelele.
Nilitoa mifano ya kutosha, nilisema hivyo ili isitumike hoja ya bunge kuingilia mhimili wa mahakama.

Nadhani tunaona sasa yanayotokea.

Kwa upande mwingine, wabunge wa CCM wana unafiki. Warioba alitengeneza mambo yawe safi katika rasimu.
Ni hao hao CCM wanaopinga ndio leo wanabanwa kwa kutumia katiba ya 1977 ambayo CHENGE ameidurusu na sasa inasulkumizwa kwa wananchi.

Wananchi nao wajifunze, na hili liwe la kuanzia. Wajue CHENGE haandiki katiba ya wananchi.

Chenge ameandika katiba ya kuwalinda mafisadi.
Na leo mtu aliyeshiriki vitendo vya wizi zaidi ya mara 2 eti anatoa ushauri kwa serikali. OMG!

Kesho wananchi wanaambiwa wajadili Rasimu ya Chenge! eti wakubali au la.

Mumeona jinsi Chenge anavyomiliki nchi.

Wananchi endeleeni kujadili katiba ya CHENGE mkitegemea matokeo tofauti na tunayoona sasa.


CC
Mag3 Mchambuzi zumbemkuu JokaKuu Pasco EMT
Mkuu Nguruvi3,

Naomba kuanza kwa kudeclare my interest, Pasco wa jf ni ignorant, na anajijua ni ignorant, ndio maana ana comment ignorance kwenye public ya jf ili kila mtu ajue Pasco ni ignorant!.

Tanzania tuna ignorants, wengi, wengine wanajijua ni ignorants ila wanaamua kunyamaza bila kucoment ili hiyo ignorance yao, isijulikane, wengine ni ignorants ila hawajajijua kuwa ni ignorants, na kwa vile wako kimya, one can not tell na wenyewe hawajijui!, ila wengine ni iginorants, hawajijui kuwa ni ignorants, hivyo wanapofanya vitendo vya ignorance kama jana pale bungeni, wakitoka nje wanapongezana kwa ushujaa wa ignorance ile!, hawa wanahitaji kusaidiwa kujulishwa they are ignorants!, ili angalau sasa watumie brain zao to think kabla ya kusema na kutenda na sio kutumia feelings.

Watanzania tuna problem ya Ignorance!, ambayo hata wabunge wetu wetu ni ignorants tuu!, sasa huyu Chenge pamoja na ma ufisadi yake yote, ni mmoja wa watu sensible mule bungeni!, pendekezo lake la phrasing azimio lile was the best!. Chenge sio tuu ni mwanasheria wa Havard, bali kwenye sheria kuna maeneo mengi sana ya specialization inayohitaji kipaji fulani on top of being just a lawyer, moja ya enero gumu kabisa ni legal drafting!, ndio maana tulipota uhuru, sheria zetu zote tulicopy and paster "para materiale" (neno kwa neno) kutoka India, simpy because hatuna legal drafting people mule bungeni!, tukubali tukatae, Andrew Chenge is the best!, ametoa pendekezo ambalo ndio the best, lakini kwa vile bunge letu limejaa ma ignorants, ma ignorants hawa wakakataa pendekezo la Change, simply because Chenge ni fisadi, na pendekezo lake limeungwa mkono na Mwenyekiti wa PAC, Mhe. Zitto Kabwe!.

Kiukweli kilichofanywa jana na wale ma ignorants kule bungeni, ni display ya ignorance at the top level!, na kwa vile sisi Watanzania pia ni ignorants, tunashangilia ile ignorance!.

Kuhusu Watanzania na Ignorance, nimeizungumzia hapa.

Escrow: Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!.

Pasco
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom