Jk amehakikisha harudi TZ hadi bunge liishe. Ndo maana Makinda alikuwa anajitahidi amalize jana. Sababu kubwa ni kuwa JK hataki kubadili baraza la mawaziri wala kuwawajibisha Watuhumiwa. Pia hata PM angeazimiwa kuondolewa ingekuwa ngumu kumtoa maana PM lazima athibitishwe na bunge baada ya uteuzi. Na mwisho wa bunge ni leo. Hivyo hili jambo lilipangwa vizuri sana na JK, Makinda, Judge Mkuu na Viongozi wa Chama chake.