grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,442
- 5,807
Hata shuleni kama hajui jibu mwanafunzi hujificha nyumba ya mgongo wa mwenzake ili Mwalimu asimtaje jina. Vivyo hivyo hata Bungeni ni adhabu kubwa kumsimamisha Martha Mlata asiye na elimu hata ya CSEE na kumtaka atoe FOMULESHENI ya maazimio. Hahahaaaaaaaa...Wakati wa kupitisha mapendekezo ya PAC kwenye sakata la ESCROW mheshimiwa Spika alisikika akiwatishia baadhi ya wabunge kuwa atanyanyua baadhi ya wabunge halafu waaibike,watakappshindwa kuongea. Najiuliza mbunge kunyanyuliwa na kuongea ni adhabu?