moto2012
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 2,271
- 1,491
Kilichonishangaza ni pale Zito alivyosapoti pendekezo la chenge na chenge mwenyewe ni mtuhumiwa, kwa kweli nimemtengenezea zito thread. Ndumilakuwili.
Brother hujamwelewa @Zito Zuberi Kabwe
Kilichonishangaza ni pale Zito alivyosapoti pendekezo la chenge na chenge mwenyewe ni mtuhumiwa, kwa kweli nimemtengenezea zito thread. Ndumilakuwili.
cc invisible
hii account imebakwa
Nimeongea mara nyingi hapa jamvini hamnielewi, pesa za Singasinga Luteni kanali amepokea na Muhongo anajuwa na ndio maana ana kiburi cha kukataa kujiuzulu, kwa nini bunge linamuogopa Rais mpiga madeal?
Enough is enough Kikwete aondoke tumekuvumilia tumekuchoka.
Niwe mkweli ktk siku nilizokuwa na hasira ya kupasuka ni leo. Sikuwahi kufikiria kuasi chama changu ukizingatia mi ni kiongozi. Lakini kama Mbowe angekubali kushirki kulinda wezi wa Escrow ningechukua uamzi mbaya. Haiwezikani Chenge ndiye anatengeneza maazimio! Yaani mwizi aliyekunja bl 1.6 leo anatengeneza maazimio ya kumwajibisha aliyempa mabilioni?? Serikali ni mtuhumiwa anajipangia maazimio kupitia kwa mawaziri??? Siyo wale wale waliokaa Kunduchi Hotel?
Nilikusudia kuchana kadi yangu niachane na siasa! Naomba radhi sana, sidhani kama ntakasirika namna hii tena. Ni kiwango cha juu cha hasira! Lakini upinzani turudi na shariti kwamba watuhumiwa wasishiriki kujipendekezea adhabu.Please Mbowe simamia hili.
Mkono na Mengi walipenyeza mambo Yao humo ili iwe rahisi kuwang'oa Mhongo na Maswi ambao ni Adui zao makubwa baada ya Mengi kunyimwa Vitalu vya Gesi huku Mkono akinyang'anywa Tenda zote za Kisheria hivyo kukosa Mabilioni kibao aliyokuwa akiyavuna miaka nenda ludi , Wote wawili wana hasira za Kukosa Ulaji tu wala hawana Uchungu sawa na Wananchi ! Mkono nje ya huu mkasa huwa ni Rafiki mkubwa wa Zito ndiyo Maana ikawa rahisi Lengo lake kutimia,huku Mengi akimtumia zaidi Sendeka na Mbowe Mchaga mwenzake, Hawa watu si kwamba wana Uchungu na Pesa za Umma Bali wao wana Uchungu na kukosa Ulaji tu, sasa wanahaha kusaka huruma za Wananchi kwa gharama yeyote ile.
Kweli Mbowe ni shujaa.Nawashukuru wanaUKAWA kwa kuwa na sauti moja.
Nipata mashaka sana na huyu chenge haiwezekani akawa na nguvu yakuteka mjadala kiasi keli tena akiwa mshutumiwa.. Lazima kuna nguvu flani yuma yake.. Hawa ndio ma Freemason aisee..
Tuondolea uongo wako PAC wametunga uongo wao kibao halafu unataka tuwaamini haitawezekana hata kidogo wameshindwa hata kutumia ukaguzi wa CAG badala yake wametunga maneno yao ya uongo.
Nimeongea mara nyingi hapa jamvini hamnielewi, pesa za Singasinga Luteni kanali amepokea na Muhongo anajuwa na ndio maana ana kiburi cha kukataa kujiuzulu, kwa nini bunge linamuogopa Rais mpiga madeal?
Enough is enough Kikwete aondoke tumekuvumilia tumekuchoka.