Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

Ila hata Mimi kwa joto hili linaloumiza bila sababu soon naweza hamia bondeni street nikaondoe stress kwa upepo Wa pwani.

Pale magomeni mapipa kuna genge la wauwaji linaloundwa na wakurya na gharama yao kuondoa kichwa ni laki tano tu deposit laki 3.

Nadhani sasa imetosha vichwa kama vya watu wa aina ya Chenge ni wakati muhafaka sasa vikabidhiwe kwa genge hili hata kwa gharama ya millioni 10 kwa kila kichwa tumeshawachoka sasa hawa siyo binadamu tena na wanastahili kuuwawa tu tena kukatwa vichwa.
 
Kesho ndo mwisho kujiandikisha,Mimi bado!!

Nitaenda kujiandikisha ili nipate kitambulisho tu.

Sakata hili la Escrow litaamua either Nipige kura au vipi!!

Mwizi anatoa mapendekezo?.only in Tanganyika!!

Kajiandikishe kwa kuwa Ni haki yako. Halafu nenda kapige kura.
ESCROW ikusaidie kuamua unampa nani kura yako!
 
Pale magomeni mapipa kuna genge la wauwaji linaloundwa na wakurya na gharama yao kuondoa kichwa ni laki tano tu deposit laki 3.

Nadhani sasa imetosha vichwa kama vya watu wa aina ya Chenge ni wakati muhafaka sasa vikabidhiwe kwa genge hili hata kwa gharama ya millioni 10 kwa kila kichwa tumeshawachoka sasa hawa siyo binadamu tena na wanastahili kuuwawa tu tena kukatwa vichwa.
Nipo tayari kuvilipia hivyo vichwa..tuwasiliane kwa malipo...maana tumechoka.

Miaka nenda miaka rudi Chenye yupo tu na ana confidence kabisa kwa sababu anajua Rais Dhaifu na utawala wake dhaifu na wananchi mazube.

Hawa ni wakuwachukulia sheria mkononi sasa.
 
Na baada ya hili bunge ingekuwa vyema yaitishwe sasa maandamano ya bila kukoma...yafanyike dar tu, wote tukutane huko.

Na kama wananchi bado hawajitokezi basi tukae kimya milele, maana huku kulialia tu huku tunakenua meno ni upumbavu.Enough is Enough.

Na huu uwe mwisho kudeal na mawaziri au waziri mkuu, ni wazi kuwa tatizo sio la mawaziri wala waziri mkuu bali tatizo ni UONGOZI DHAIFU WA JAKAYA MRISHO KIKWETE.

Tusiuzunguke mbuyu kama walivyofanya akina Mwigulu, Mwandosya na Wasira, Rais aliyajua haya na ndio maana Wasira alisema ilikuwa kama serikali imelala kauli ile maana yake tuna kivuli tu TUNACHOKIITA RAIS, tatizo ni hilo wala sio Pinda wala vidagaa vingine.Nchi sasa haina dira na haina uongozi, kila mtu anajilia kivyake.
 
Nipo tayari kuvilipia hivyo vichwa..tuwasiliane kwa malipo...maana tumechoka.

Miaka nenda miaka rudi Chenye yupo tu na ana confidence kabisa kwa sababu anajua Rais Dhaifu na utawala wake dhaifu na wananchi mazube.

Hawa ni wakuwachukulia sheria mkononi sasa.

Hapa wala hatuongelei mzaha na hili zee lilivyo malaya kuliuwa kwa urahisi hata sumu ya mamba inamtosha sana Mama'ke zake huyu.

Huyuhuyu Kenge mmoja katuvuruga kwenye katiba leo tena bila haya kwenye kesi ajiyoshiriki kuiba eti yeye ndio mtoa ushauri!!
 
MAKINDA ALIKUWA ANAJUA ANALOLIFANYA NDIO MAANA ALIKUWA ANAKOMAA KWAMBA MBUNGE LIKESHE,AKIJUA KUWA UKAWA WATACHOKA NA KUFANYA WATAKAYO,NDIO MAANA ZITOO AKAWAINGIZA KING ALAFU AKABAKI ANAWASIKILIZIA WAJIKA ANGE WENYE.BAADAE AKASEMA AMECHOKA ILI WAZUBAE.PIPOOOOZZZZZZZZZZZZZZ,,,,,,!!!!!!!!!!!!!!!!!!!NVR GVUP...!!!!!FULL POWER....!!!!:peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace:

Nilipenda sana pale Zitto alipokubali ushauri wa chenge kwasababu ungetumika kuanzia kwa katib mkuu hadi pinda, ila makinda akastuka kuwa yupo tunapotaka sisi hadi akaanza kubariki uozo wa kufuta maazimio kwa kusingizia masele hajakosea direct so tumuache apete .
Hatukubali.
 
Last edited by a moderator:
Mi nafikiri tatizo sugu ni watanzania wenyewe. Hii ngoma ilikuwa ni ya kuwafuata jamaa huko huko mjengoni na kuwapiga kufuri kisha kuwatumia salamu. Yeye angeamua kama kweli arudi au ndo aifadhiwe huko.
Taifa lingelipata mwanzo mpya na fundisho kwa wote ambao wangelifuata baada ya hilo kundi
 
Hapa wala hatuongelei mzaha na hili zee lilivyo malaya kuliuwa kwa urahisi hata sumu ya mamba inamtosha sana Mama'ke zake huyu.

Huyuhuyu Kenge mmoja katuvuruga kwenye katiba leo tena bila haya kwenye kesi ajiyoshiriki kuiba eti yeye ndio mtoa ushauri!!
Mambo yanakera sana haya...na ile ongea yake ni dhahiri anajua hakuna wa kumfanya lolote.
 
Insasikitisha sana wa binge wengi wa ccm wa naangalia maslah ya chama kuliko Nchi. Kama to ya Bunge ilitumwa kazi imemaliza na kutoa ushauri sasa ushauri wao unaonekana haufai ufuatwe wa mwizi change. Kosa Bunge Hakuna mamlaka ya kushauri sasa kama hawana mamlaka walipewa kazi hiyo yanini? Pili kwa akili ya kawaida tu hata makazini mtu akituhumiwa anasimamishwa kazi kupisha uchunguzi sasa kuna ubaya gani bunge likishauri hivyo. Mawaziri wa ccm Hawana aibu wala haya wanateteana maovu
 
Ni jambo lilotokea usiku huu
Ukawa wasimama na kuimba.bila kinyamaza.
Wanataka mamlaka ya uteuzi ipewe maazimio na bunge yenye maagizo ya kuwatimua wezi nasiyo kupendekeza.

Mkuu hata maana ya kupendekeza hujui? Bunge linapendekeza mamlaka husika imfute kazi... Sasa tatizo liko wapi? Ni juu ya mamlaka husika kukubali au kukataa na kuleta majibu huko mbele. Hapa ni usanii tu
 
Sijawahi kuona popote duniani watuhumiwa wakijadiliana na wanaowatuhumu kupanga jinsi ya kushitaki wanaotuhumiwa!!!!
_i have never seen this!!
 
Back
Top Bottom