Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, January 28

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, January 28

Mbatia akongea kwa uchumgu kwa kitendo cha Lipumba kudhalilishwa wakati yeye ni mwenyekiti wa chama kinachounda umoja wa kitaifa Zazibar, ana mwenyekiti wa wabunge wengi Bungeni, akahoji kama Polisi wameweza kumpinga kiongozi mkubwa kama Lipumba itakuwaje kwa Raia wa kawaida?. Kitendo cha watoto kupigwa mabomu, sasa Bunge limewaka moto. Baada ya kelele kuzidi sasa spika ameahirisha Bunge mpaka saa 10 jioni.

Wabunge wa UKAWA wameungana na kusimama humu wakipiga kelele wakitaka hilo swala la uonevu kwa viongozi wa upinzani lijadiliwe

:thumbup:
 
Naomba kuuliza waungwana, hivi kwa siku ya jana ambao bunge lilianza saa tatu na mnamo saa tano na nusu kikao kikaairishwa mpaka kesho (yaani leo saa tatu).

Je wabunge nayo siku ya jana walilipwa posho ya siku nzima?
 
Bora limesitishwa maana ninachokiona ni upuuzi wa wabunge wa upinzani kushinikiza mambo yao yatekelezwe hata kama ni ya kipuuzi

Tofauti yako na Lizabon na genge la vilaza wenzenu ni majina tu na pengine ni id za Lizaribon maana anazo nyingi.
 
Hivi utaratibu wa polisi kuzuia maandamano upo katika katiba gan???
....me nnavofahamu polic wanatakiwa kupewa taarfa 24 hours kabla hayajafanyik kwa ajili ya kuyalinda!!!
....asa hii ya kuzuia inatoka wapi ???
...mwenye majibu anisaidie please
Mh. Mbatia kaliweka hili wazi.
Walisema kuwa wamepewa maelekezo kutoka juu, na Spika badala ya kulijadili hilo swala kama kanuni za bunge zinavyotaka kasema mpaka kesho ili kwanza naye akapate maelekezo ya hao waliowaelekeza polisi.
Sitaki kuamini kuwa tumelaaniwa kama nchi!

 
ni vizuri wabunge wakaona umuhimu wa kutetea haki za wananchi
 
iko sawa, sasa tunaelewana kususa ni upumbavu

pambana ukiwa eneo la mapambano, ule ushauri wa kugomea BMK ulikua hovyo.

hata ushauri huu wa kugomea kupigia kura katiba inayopendekezwa ni wa hovyo, kwa sababu ukishiriki hata kama katiba itapita utakua umeijua nguvu yako.

kama msimamo wa kugomea kushiriki utaendelea tusije shangaa tukaambiwa tena wamegomea uchaguzi mkuu. itakua aibu yao.
 
Jamani tujulishane bunge lina endelea leo au mpaka kesho,maana bado kinywa na mlisema saa kumi lita endelea,naombeni msaada wenu wadau mm niko chimbo sana,kisili kenya huku
 
Mimi nitofautiane na wengi hapa(wewe ukiwemo). Nilisikia Polisi wakimweleza Lipumba kuwa, kama issue ni kwenda kutoa taarifa ya kuahirisha kikao kule uwanjani,basi watume mtu aende au Yeye mwenyewe aende kimyakimya na sio kwa maandamano.

Sema shida ya awa jamaa ni "Nguvu ya Umma". Lipumba aliamini anakiuka taratiba kwa kubembeleza na kuwapigia magoti wanachama wake.

Hope amepata alichostahili (ingawaje naamini hata yeye anajua kuwa, WANACHAMA ndio waliomletelezea yote hayo).
TUNTEMEKE SANGA hakujaza mavi kichwani kama wewe, unalifedhehesha jina la mzee wawatu aliyekuwa mchapakazi mzuri R.I.P mzee wetu TUNTEMEKE.
 


Baada ya wabunge kukutana tena jioni hii,spika wa Bunge Bi Anna Makinda ameahilisha tena shughuri za bunge mpaka kesho asubuhi.Ikumbukwe kwamba leo ndio ilikuwa ni uwasilishwaji wa taarifa za kamati.

Bunge limeahilishwa lakini malipo na posho kwa wabunge ziko palepale,kama majadiliano yalikuwa ya wiki mbili yaani 14,basi engeza siku moja tena,hivyo basi ni siku 15 badala ya siku 14.Kama malipo na posha kwa siku moja ni jumla ya pesa za kitanzania Milioni 85,basi zongezwe tena milioni 85 za siku moja iliyoongezeka.Ni hasala kubwa sana kwa Taifa letu,lakini hasara hii ya m85 za siku moja imesababishwa na nani kati ya hawa?

Mtoa taarifa yaani Mh James Mbatia,waliofanya maandamano jana CUF,Jeshi la Polisi au Bi Anna Makinda?
Vilevile ikumbukwe kwamba,wanaoumia zaidi na hasara ya pesa hizo ni tabaka la chini (lower class) ambao ni Waalimu,Machinga,wachoma mikaa,wauzaji wa kuku mjini na vijijini,wauza vitumbua,wapepetaji wa chenga za mpunga mashineni.

Huku Tabaka la juu (Higher class) likizidi kufaidika,lakini wakumbuke kwamba hawa tabaka la juu wenye majumba na magari ya kifahari,siku ikifika majumba na magari hayo yatakuwa ni magofu ambayo mavi ya kila aina ya wanyama kama vile fisi,Pimbi na ndege kama popo,bundi yatakuwa yamejaa,yaani yatakuwa makazi ya viumbe na sio wao tena. Tuchukueni maamuzi magumu sana katika uchaguzi wa okutoba 2015.
Anayecheka leo si yule atakayecheka kesho. The life of human bieng in the universe is like the shape of the World/Earth.Tafakari.
Wilbert Pm's Mandago.Katibu chadema (W) Kwimba.

Mshululu@yahoo.com.0765183733

 
Back
Top Bottom