TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,346
- 863
Yaani wewe sijui kama unajua aua una uwezo wa kuchambua mambo! Ebu refer Prof akiwa ofisi za chama pale temeke alisema nini kuhusu mkutano hule mh. Alijitahidi sana kuhalisha maandamano na aliwapa sana polisi ushirikiano, kwani wakati anaenda uwanja wa zakhim alikuwa anatembeà kwa miguu? Kumbe siku hizi ukiwa umepanda gari nayo ni maandamano???
Uwe mvumilivu na wewe! Wakati yuko pale Temeke, hata mimi niliipenda speech yake (ingawaje haikukubaliwa na wafuasi).
Now; kwamba unataka kutufanya wote humu ni vipofu ja hatukuona maandamano na utitiri wa watu wakimsindikiza Lipumba kwenda Zakhim?
Kuwa muungwana bwana. Na hapo Lipumba "ameponzwa na nguvu ya umma tu". Hapa sasa naweza nkamuuliza swali, kwa nini yeye aliamua kufuata kauli au upepo wao ilhali keshagundua kuwa misimamo yao (wafuasi) ilikuwa wrong & improper?
Nini maana ya KIONGOZI?