Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, January 28

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, January 28

Polisi wanaihujumu Ccm kulijuwa hili ni lazima ufikiri kwa kutumia ubongo na siyo tumbo.

Na cha kushangaza wanalifanya hilo pasipo kukusudia! wanalifanya kwa bahati mbaya tu!
 
Mkuu

Sio linakuja teyari, huoni vituoni silaha zinaibwa, polisi wanaporwa, raia wanauwawa hovyohovyo nk.

Kilichobaki sasa hivi niwapi bomu lipasukie na maafa yaanze, CCM na serikali yake bado wamelala fofofo.

Watu wanahasira kubwa, maisha nimagumu sana, polisi wanatesa watu, wengine Ikulu wanaogelea kwenye fedha ya

umaa iloibwa hapa tunaenda kuchinjana kama kuku.

Ni muda tu kwa kweli tupulize kipenga mechi ianze,
 
Polisi wanaihujumu Ccm kulijuwa hili ni lazima ufikiri kwa kutumia ubongo na siyo tumbo.

Bahati mbaya sana wanawahujumu ccm huku wakituachia vilema hii haikubaliki kamwe, tutaanA kuwindana tu na hao ccm
 
Nawapongeza sana polisi jambo kubwa la msingi waongeze nguvu zaidi yakiwemo matumizi ya risasi za moto kwa wale sugu wasiosikia kabisa.

Hata mimi nawapongeza sana Polisi kwa kuisadia UKAWA hata vipofu sasa wanaona na viziwi wanasikia.

Mwaka huu utaelewa tu tofauti ya x na × kuzidisha.
 
Yaan ndg yangu huyu spika ni kiroja. anakubali hoja ni yadharura na kanuni iliyotumiwa na ya jambo la dharura halafu eti ihairishwe na kibaya zaidi eti waziri alete majibu. Kwel huyu spika ni zaidi ya kiroja

yaani anachofanya ni kuhororoja tu! Hivi nani huchukua nafasi ya kwanza kati ya muulizaji na yule anayejibu? Eti wasubiri serikali itoe majibu! majibu hayo ni kwa maswali yapi? hivi ukiwa CCM ni lazima ufikiri kwa kutumia utumbo?
 
ziliibwa wapi hizo pesa au zile pesa alizoiba slaa kanisani.


Ukidhani wote tunatumika kama wewe usiejimbuwa endelea na upumbavu wako.

Mpumbavu akipewa 7000 hudhani kamaliza kila kitu nakutetea ushenzi wa washenzi wanavuna pasipo kufanya kazi.
 
...polisi wanapiga mambomu raia wema! Hasa watoto wadogo!
huku wakiwalinda MAFISADI na Wezi wa kodi za walala hoi...

images

Njaa ni noma, angalia afande wa kulia anataka hata kudondoka!!
 
Safi sana UKAWA saivi hamna kutoka nje ni kukomaa na kubanana humohumo ndani hadi kieleweke!
 
wangefanya kama wananchi walivyowafanya wenyeviti wa ccm
kichapo kwa supika
 
Kwa kwelii hata mimi niliona jana EATV kipindi cha hot mix sikuamini wanapiga virungu kama wanapiga mwizi jaman aaaah napenda sana kua police lakini siyo katika hari kama ilee aiseee sasa ngoja tutasikia hiyo kauli kutoka juu ni juu ganii maana hata raisi hakuwepo na waziri mwenye dhamana hajui sasa sijui ni juuu mbiguni ngoja tusubiri tamko la badae

Juu watakuwa labda wamemaanisha, wapigwe tuu..!
 
Mbatia akongea kwa uchumgu kwa kitendo cha Lipumba kudhalilishwa wakati yeye ni mwenyekiti wa chama kinachounda umoja wa kitaifa Zazibar, ana mwenyekiti wa wabunge wengi Bungeni, akahoji kama Polisi wameweza kumpinga kiongozi mkubwa kama Lipumba itakuwaje kwa Raia wa kawaida?. Kitendo cha watoto kupigwa mabomu, sasa Bunge limewaka moto. Baada ya kelele kuzidi sasa spika ameahirisha Bunge mpaka saa 10 jioni.

Wabunge wa UKAWA wameungana na kusimama humu wakipiga kelele wakitaka hilo swala la uonevu kwa viongozi wa upinzani lijadiliwe

Strategically UKAWA wamejipanga vizuri sana. Huyo ni Mbatia tu kaongea,je angesimama Halima Mdee Tundu Lissu n.k sijui hali ingekuwaje?
 
Last edited by a moderator:
Unajua kuna vitu vya kijinga hata mimi ambae sikusoma naelewa! Hivi unaombaje serikali ijibu wakati inatakiwa mjadala kwanza ujadiliwe kisha wanaotuhumiwa ndo wajibu, sasa anataka serikali ijibu nini? spika mjinga kama makinda sijawahi kumsikia tangu nizaliwe
Yaan huyu Makinda anaendeshwa kwa remote na vimemo!! ni sawa na mwanafunzi kusimama kutaka kumuuliza swali mwalimu then anamuambia subiri nikatafute jibu kabla hujauliza swali lenyewe!
 
Hahahahaha hii kauli itamhukumu huyu mheshimiwa mpaka anaacha hii kazii
 
wangefanya kama wananchi walivyowafanya wenyeviti wa ccm
kichapo kwa supika


Tatizo nilionalo nikwa ccm kuwaweka polisi matatani. Maisha magum, mishahara duni nk

Polisi waliowengi na familia zao wanaishi mitaani, huko mitaani ndiko wanakuuwa na kutesa raia.

Hapa nikutengeneza kambi bili za uhasama kati ya polisi na wananchi, kitakachotokea, polisi watatoweshwa mitaani

Mungu saidia ccm wasitufikishe huko.
 
Hii ya leo nimeipenda sana. UKAWA wameamua kukomaa humohumo. Lazima majibu ya kueleweka yapatikane, kwamba nani kiongozi wa juu alietoa agizo la Proffesser kupigwa?.
 
Back
Top Bottom