Nimekosa neno la kishenzi la kukuita, niseme tu pole!
Haaaa haaaa bora ungekaa kimya upumbavu wako tusingeujua.
Hawa jamaa wamechoka,hawana jipya,vijana fanyeni maamuzi.machali
ccm oyeeeeeee..jah people
Ccm kigoma tutawafuta,subirini october muone.machali
Anaingia deo sanga jah people sasa
Deo sanga yule aliyekuwa anakata mauno kwenye bunge la katiba?
Ulikuwa unakata mauno ya nini wewe.Deo sanga yule aliyekuwa anakata mauno kwenye bunge la katiba?
Mkuu wangu silaha kubwa ya Bavicha ni matusi.Hivi huwa hamuwezi kujadili bila matusi?
acha kupotosha
Mimi ndio jah people,au unanisikia tu? jah people
Mawasiliano kutoka kasulu kwenda kigoma,yamekatika kutokana na mvua.machali.
Nassary aache uongo,hana uwezo wa kununua ambulance
ujinga mtupu katika riwaya hii. ccm haina uwezo wa kuzuia gari lolote linaloagizwa na mtu yeyote toka nje ya nchi. labda liwe la wizi au la utapeli...ccm inahamasisha maendelo na wadau wa kuchangia maendeleo haiwezi kukwamisha maendeleo.
.yapo holili ata mie nimepita
Nipo meyaona .kashuhudie
Ubishi tuu
Mkuu wangu silaha kubwa ya Bavicha ni matusi.
Ujinga mwingine huu. Lipa kodi TRA wacha ujanja ujanja. Ulipoyaagiza uliyaagiza kama taasisi inayopewa msamaha wa kodi au kama mtu binafsi? Sheria za kodi zipo wazi wacheni kuligeuza kuwa siasa za vyama.
ujinga mtupu katika riwaya hii. ccm haina uwezo wa kuzuia gari lolote linaloagizwa na mtu yeyote toka nje ya nchi. labda liwe la wizi au la utapeli...ccm inahamasisha maendelo na wadau wa kuchangia maendeleo haiwezi kukwamisha maendeleo.
ujinga mtupu katika riwaya hii. ccm haina uwezo wa kuzuia gari lolote linaloagizwa na mtu yeyote toka nje ya nchi. labda liwe la wizi au la utapeli...ccm inahamasisha maendelo na wadau wa kuchangia maendeleo haiwezi kukwamisha maendeleo.
Akiongea kwa uchungu huku akieleza hatua alizopotia kuomba msamaha wa kodi lakn ambulance hizo ambazo ameznunua kwa pesa yake zimezuiwa bandarini holili miezi
Mi4 sasa kisa zmeagzwa na mbunge wa upinzani huku wananchi wa meru wakiendelea kuteseka!!!!!
My take: Hii serikal kama inakosa huruma kwa wananchi wake kiasi hiki Kweli ipo taabani!!!