Mtoa mada
We jifurahishe tu, Karatu hawawezi kurudia matapishi, na uharo (ccm). Ni wazi kuwa Mbunge Israel Natse ameonesha udhaifu mkubwa, hatutegemei Chama kituteulie tena Mbunge dhaifu kama huyo.
Lazaro Massay anapaswa kuwa gerezani, lakini kwa vile serikali ya ccm ni dhaifu, ndo maana anapeta mitaani. Hakuna sababu ya kulaamu CHADEMA kwa jambo linalohusu serikali.
Huyo Chitanda inafaa kuchunguza uwezo wake. Kwa nafasi yake alichukua hatua gani kuhusu suala hilo? Anaenda kusema Bungeni ili iweje?
Mary Chatanda huyu huyu asiye na maadili ya mwanamke wa kitanzania?
Amefanya ufisadi wa Tsh ngapi? Au ni ule mpango wa mccm kuwachafua viongozi wa Cmd?
Wewe unayejiita BABA E's akili yako na akili ya Mary Kitanda zinafanana.
Hata mkitambikia uchi wa mnyama tena mchana wa jua kali ccm hamuwezi kushinda Karatu.Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika December 2014 ni salamu tosha kwenu magamba kuwa hamna chenu Karatu!
Kama kungekuwa na ufisadi Karatu mi wazi kuwa Mary Kitanda angetumia fursa hiyo kuwashawishi wana Karatu kuchagua mafisafi wa ccm miaka yote aliyokuwa Arusha kama Katibu wa ccm Mkoa.
Raisi mstaafu Benjamini Mkapa mwenyewe alishindwa vibaya katika majaribio yake kadhaa ya kutaka kuwaghilibu wana Karatu sembuse kadudu mtu kanakoitwa Mary Kitanda!?
nimemfuatilia sana huyu mary chatanda. ni mama asiyejiheshimu kwa maadili ya kitanzania. ni mtu anayeokoteza maneno ili kugonganisha watu. sijajua ni mbunge wa wapi huyu..
tena huyu mama alikwenda mbali zaidi kwa kuwazodoa kina mbowe, baada ya kusema Rose kamili hakuumia mkono wake kwa kupingwa na polisi kama chadema wanavyodai, Rose kamili aliumia ule mkono tangu akiwa ccm kwa kupata ajali ya gari na hivyo kuwekewa chuma kabla hata ya kuhamia chadema kutoka ccm.
sasa anashangaa leo chadema wanavyounasibisha mkono wa rose kamili na kupingwa na polisi wakati wanaujua ukweli katika mioyo yao na rose mwenyewe anafahamu hilo
nimemfuatilia sana huyu mary chatanda. ni mama asiyejiheshimu kwa maadili ya kitanzania. ni mtu anayeokoteza maneno ili kugonganisha watu. sijajua ni mbunge wa wapi huyu..
Hata dr.Slaa alifanya ufisadi kwenye mradi wa maji Karatu
Leo bunge hakuna mbona tbc wanaonyesha ngonjera za chenge tu?
Billioni dolla na Trioni za shillingsHilo halisaidii Taifa kwa sasa, tuambieni deni la Taifa limefika vipi Bil 40 wakati Jk alikuta likiwa Bil 8 tu
Leo bunge hakuna mbona tbc wanaonyesha ngonjera za chenge tu?