Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Chama ambacho kinaweza kututoa kwenye matatizo ni ccm pekee
 
serikali ni hodari wa kupanga mipango lakini utekelezaji wake ni mgumu.anna
 
Serikali ni hodari kupanga mipango ila utendaji hakuna anna malaka
 
mpanda tabora injini mbili mbovu mitumba anaomba serikali ipeleke injini mpya ktk zile 13
 
wabunge wa upinzani wanabwabwaja eti ukawa inaenda kuchukua nchi badala ya kuchangia bajeti iliyopo mezani...kwamba serikali ya ccm imechoka na wao ukawa wanaenda kuchukua nchi tarehe 25n mwezi wa 10 2015...je hili ni bunge la bajeti au bunge la kampeni???

Ni Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
ngwilizi anaongea sasa kuna mambo ccm haijafanya ila mengine imefanya
 
LEMA alipewa msamaha wa kodi kwenye ambulance na bado akaenda kuziuza kwa muhindi.

Huyu Nassary atimize ahadi zake kwa wanameru aache kusingizia CCM.
 
Mlalo hakuna lami ila barabara zinapitika sema wakati wa mvua hazipitiki hatuna wa kumlaumu tuilaumu mvua
 
Back
Top Bottom