Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Wananchi wa lindi na mtwara wamelalamika sana kwa sababu kushindwa kupelekiwa maendeleo wametupwa na serikali ya ccm
 
Lindi na mtwara inatajwa kwa sasa sababu ya gesi na wametengwa kwa muda wote ndio maana wanataka kujua hatima ya gesi
 
Hii ni kweli serikali imezuia maana nimesikiliza anavyoeleza anasema mpaka mkuu wa wilaya na dk mkuu wa wilaya ya patandi waliandika barua kuhusu hizo gari lakini serikali ya ccm wamekataa kutoa msamaha wa kodi,hii inawezekana kutokea tz tuu na kweli hii thambi itawatafuna wengi.sasa hivi wengi tumesoma na tunajua kinachoendelea ila kwa taarifa tu mwisho uko karibu sana.tukajiandikishe na kupiga kura then tulinde kura zetu
 
Hahhaaa kipindi cha uchaguzi kimefika wanaanza kutafuta mchawi. Uingizaji wa bidhaa kutoka nje na masharti ya misamaa ya kodi yapo wazi kabisa. Kama aliagiza hayo magari bila kufuata utaratibu, au kama hayo magari haya sifa za ambulance kamwe TRA hawewezi kuyaruhusu kupita bila kulipa kodi.

Nimekosa neno la kishenzi la kukuita, niseme tu pole!
 
Miaka 50 mtatoa ahadi ya maji kwa wananchi.
 
Hakuna hofu ya kufanya mabadiliko katika nchi yetu.
 
Ni aibu kwa mbunge kwenda kuomba ubunge kwa ahadi ya maji-mbunge wa lindi
 
Tunawakieni kila heri viongozi wa Ukawa.mbunge wa lindi
 
Uti wa mgongo wa nchi ni wakulima lakini wamekuwa wakidhalilishwa .mbunge wa lindi
 
Mikoa ya kusini mna kila sababu ya kuunga mkono mabadiliko
 
Bandari ya lindi ahadi ya raisi hajatekelezwa .
 
Ahadi ya rais ya bandari ya lindi hajatekeleza isipokuwa ya bagamoyo
 
Waliohukumiwa kunyongwa kwa mauaji ya albino wameshinda kunyongwa kwa sababu raisi ameshindwa kusaini.mbunge wa lindi
 
Sasa unabisha nini??? au wewe ni katibu mwenezi wa chama?? mbona mara nyingi hospitali wanakataa kupokea misaada kisa aliyetoa katokea upinzani!!! hata mashuleni ni hivyohivyo
ujinga mtupu katika riwaya hii. ccm haina uwezo wa kuzuia gari lolote linaloagizwa na mtu yeyote toka nje ya nchi. labda liwe la wizi au la utapeli...ccm inahamasisha maendelo na wadau wa kuchangia maendeleo haiwezi kukwamisha maendeleo.
 
rais ameshindwa kusaini hukumu za wauwaji wa albino eti wapo sawa na watu wengine
 
Haaaa haaaa bora ungekaa kimya upumbavu wako tusingeujua.

Hahhaaa kipindi cha uchaguzi kimefika wanaanza kutafuta mchawi. Uingizaji wa bidhaa kutoka nje na masharti ya misamaa ya kodi yapo wazi kabisa. Kama aliagiza hayo magari bila kufuata utaratibu, au kama hayo magari haya sifa za ambulance kamwe TRA hawewezi kuyaruhusu kupita bila kulipa kodi.
 
mauwaji ya albino yametokea ktk awamu hii ya jk 2006-mpaka sasa ambayo yametia aibu taifa hili
 
ujinga mtupu katika riwaya hii. ccm haina uwezo wa kuzuia gari lolote linaloagizwa na mtu yeyote toka nje ya nchi. labda liwe la wizi au la utapeli...ccm inahamasisha maendelo na wadau wa kuchangia maendeleo haiwezi kukwamisha maendeleo.
Mpuuzi mkuu wa mwaka huu..hongera.
 
Back
Top Bottom