Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Naishukuru serikali kwa kutupa fedha za mradi wa maji.sanga
 
ujinga mtupu katika riwaya hii. ccm haina uwezo wa kuzuia gari lolote linaloagizwa na mtu yeyote toka nje ya nchi. labda liwe la wizi au la utapeli...ccm inahamasisha maendelo na wadau wa kuchangia maendeleo haiwezi kukwamisha maendeleo.
Dvs 7 mlungo.

swissme
 
Hili taifa ni la kipuzi sana sioni sababu ya ushangiliaji wanaoufanya ccm wakati wamefeli kwa kila kitu uongo tu ndo umewajaa na kushangilia upumbavu
 
Ukawa wakienda kwenye mikutano kazi yao ni kukinga bakuli kuomba wananchi.sanga
 
mimi najenga shule kuanzia chini mpaka juu, nyie ukawa mmefanya nini? jah people
 
wajibu wa serikali ni kuhakikisha inapeleka maendeleo bila kujali itikadi za vyama.machali
 
tunaposema serikali imechoka sio kama tunawaonea,katika asilimia mia moja mnapeleka smasilimia24 .machali
 
Vijana wanapata matatizo kwenye maeneo yao , taarifa ya hesabu za serikali za mitaa ilionekana zaidi ya bilioni mia mbili,hazikuwa commited kuwasaidia wanawake na vijana.machali
 
Back
Top Bottom