Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Wewe unashangaa hilo la magari!? Ubungo mpaka Leo maji yamekuwa shida, kisa mbunge ni waupinzani. Only in Tanzania.

Kwani kabla ya huyo wa upinzani maji yalikuwepo?
Na je kama yalikuwepo baada ya mbunge wako waling'oa miundombinu?
Acha umbea@ONLY IN TZ
 
Mkuu mbona chadema wameuwa watu wengi sana mpaka kagenzi walitaka kushughurika naye ila kawazidi akili tu.

Leo naona mmepewa posho, mnajibizana wenyewe tu na kujijibu. Kweli chadema inawapa homa.
 
Wafadhili wameniletea magari mawili kwa ajili ya project ya maji.menrad
 
wapinzani acheni longo longo jengeni mabarabara .fanyeni kazi.menradi
 
Maendeleo hayaji kwa longo longo yanakuja kwa vitendo.menrad
 
Humu kuna upotoshaji sana wa taarifa za kinachojiri
 
Ccm itaendelea kushinda kila siku kwa sababu tunafanya kazi.menradi
 
Back
Top Bottom