Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Akiongea kwa uchungu huku akieleza hatua alizopotia kuomba msamaha wa kodi lakn ambulance hizo ambazo ameznunua kwa pesa yake zimezuiwa bandarini holili miezi
Mi4 sasa kisa zmeagzwa na mbunge wa upinzani huku wananchi wa meru wakiendelea kuteseka!!!!!

My take: Hii serikal kama inakosa huruma kwa wananchi wake kiasi hiki Kweli ipo taabani!!!
 
Kuna watu meresini wameporwa ardhi yao na wawekezaji wa radio.mrema
 
Natazama bunge muda huu huyu mbunge wa Mpwapwa anasema barabara ya kutoka Mbande Mpwapwa imeanza kuwekwa lami hii nchi inakwenda wapi hii ni dharau kwa watu wa Mpwapwa nimetoka Mpwapwa jana nimepita ile njia ni mbovu na hakuna hata dalili ya mkandarasi kuwa barabarani huyu Teu vipi jamani
 
ujinga mtupu katika riwaya hii. ccm haina uwezo wa kuzuia gari lolote linaloagizwa na mtu yeyote toka nje ya nchi. labda liwe la wizi au la utapeli...ccm inahamasisha maendelo na wadau wa kuchangia maendeleo haiwezi kukwamisha maendeleo.
 
Huyu mrema kiswahili mbona kwake ni shida
 
Anaanza kutoa document za barua za malalamiko za shamba meresini.mrema
 
Ccm mkiambiwa mmechoka mtasema ninawatukana.mrema
 
Kwa tabia ya viongozi wa ccm kujimilika ardhi napata shaka kuwashauri watoe eneo la kujenga soko la kisasa.mrema
 
Wananisingizia mimi mwanzilishi wa mahakama ya kadhi.mrema
 
Natazama bunge muda huu huyu mbunge wa Mpwapwa anasema barabara ya kutoka Mbande Mpwapwa imeanza kuwekwa lami hii nchi inakwenda wapi hii ni dharau kwa watu wa Mpwapwa nimetoka Mpwapwa jana nimepita ile njia ni mbovu na hakuna hata dalili ya mkandarasi kuwa barabarani huyu Teu vipi jamani

mbunge anayesifia serikali usimchague ndo adhabu yake
 
Mrema alikuwa anaanza kuongea kuhusu wanaotaka jimbo la vunjo muda wake umeisha.
 
Wewe unashangaa hilo la magari!? Ubungo mpaka Leo maji yamekuwa shida, kisa mbunge ni waupinzani. Only in Tanzania.
 
Back
Top Bottom