Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Jaribu kuleta vitu vya akili cio kukurupuka ni Gari ngapi wabunge wa upinzani zmepita iweje hiyo bandari inautaratibu wake wambie afate utaratibu.......atajua tu hizo ambulance ndio za kuombea kura kashindwa kwa kishindo don't provoke talk smart

Haujielewi Mkuu
 
MCHANGO WA MH JAMES LEMBELI BUNGENI LEO Hii TAREHE 14.05.2015

Kuna mh Lowassa hapa mimi sipendi ufisadi,sipendi mtu mwizi,lakini sioni jitihada za kumsafisha yeye kama hao wengine.Nilikuwa miongoni mwa wabunge waliyosimama kuhusu Richmond,lakini sasa naona kama wenzake wanasafishwa yeye je? Lazima!!lazima kama ni msumeno ukate pande zote mbili.(makofi)

UKWELI UMEANZA KUBAINIKA. AKINA SAMWEL SITTA NA WENZAKE WATAUMBUKA TU.
 
Sheria za kodi zipo wazi kivipi kuhusu Ambulance na vifaa tiba vingine?Unaweza kutusaidia ufafanuzi badala ya kusema tu Sheria za Kodi zipo wazi.Be Specific please!

Una apply kwa kamishna wa kodi Ili upewe msamaha wa kodi. Kama alivyofanya Lema na Ambulance. Haiji kwa kukurupuka tu na kuzileta Holili halafu utegemee zitapita bure.
 
Una apply kwa kamishna wa kodi Ili upewe msamaha wa kodi. Kama alivyofanya Lema na Ambulance. Haiji kwa kukurupuka tu na kuzileta Holili halafu utegemee zitapita bure.

Umeelewa alichokisema Nassari?Umeelewa jitihada zilizofanywa na Mganga Mkuu wa Wilaya pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri? Kwamba hizo application kwa tra,hata kama hawazijui,je tra wameshindwa kuwaelekeza?how long does it take to understand such a simple procedure?
 
Bunge dhaifu hoja dhaifu puu!!! kunua Geneza au ambulance si Vibaya vibaya ni kutokulipa kodi tena kwa visingizio vya wagonjwa!! Mbunge kapewa misamaha kibao mfano wa mikopo isiyo riba!! fast track popote, ikiwepo matumizi ya VIP kutokana na sheria ya bunge/mbuge, swali ni je kama Mbunge ulisahau vipi kuja na sheria inayofuta kodi ya geneza! inayofuta kodi ya gari la wagonjwa (private) inayosamehe kodi na kurusu wagonjwa kupita na kutumia VIP? nimesisitiza kuwa ni Bunge Dhaifu kwa kuwa madai mengi wabunge wetu ni kutaka kwenda kinyume cha sheria ya kutokulipa kodi kwa misamaha ya hovyo hovyoo leo hii tunaona Mh Mramba yupo mahakamani kwa kutoa msamaha pasipo baraka za kamishina wa kodi na kinyume cha sheria, pia tumeona ripoti ya CAG ikisisitiza misamaha ya hovyo iangaliwe upya. lkn kwa mtu makini kama mbunge sheria inamtaka pamoja na mambo mengine awe wa kwanza kufuata sheria na kitekeleza akiwa kiama kiongozi na mwananchi kwa upande mmoja kwa maana ya kuwa mfano wa kuigwa na asiwe mtu wa kukurupuka pasipo mipango kama uagizaji wa ambulance mbaya zaidi used one over 10 years na akiamini sheria ndiyo inapaswa kuwa adjusted in fever ya yeye, huu ni ulaghai mbaya mno!! kwa watanzania maskini ambao wanahadaiwa kukidhi haja ya wanasiasa wa hovyo hovyo tu.

Halafu mbona kipindi hiki kila mtu anajifanya ameiagiza ambulance , huku wakisingizia kodi , kwa nin hawakuanza 2011, 2012,... Sasa hivi kila mmoja anajifanya yuko karibu na wananchi
 
Leo wakati Mary chitanda akichangia bungeni alimsema mwenyekiti wa halmashauri ya karatu anayeitwa Lazaro kwamba ni fisadi mkubwa sana wa muda mrefu na wabunge wa Chadema wamekuwa wanaipigia kelele CCM kuhusu ufisadi lakini imeshindwa kumchukulia hatua huyu Lazaro kwa muda mrefu. Mary chitanda alisema pia amekuwa akipewa taarifa hizo za ufisadi na Cecilia pareso ambaye ni mbunge wa kuteuliwa wa jimbo hilo. Hata hivyo Cecilia alikuja juu baadae akikana kuwasiliana na Mary chitanda hata hivyo Mary chitanda aliendelea kusisitiza kuwa Cecilia aliongea naye kuhusu huyo Lazaro.

Taarifa zingine za huko karatu zinasema fisadi huyo Lazaro aliitisha kikao leo na madiwani ingawa walijitokeza wachache, na ametangaza nia ya kugombea Ubunge Karatu kupitia Chadema.

Watu wa Karatu wanamuelewa sana huyu Lazaro kwamba ni mtu fisadi sana, Sasa kama CDM itathubutu kumpitisha awe mgombea basi kuna nafasi kubwa sana kwa jimbo hili kurudi CCM.
 
wana ikungi tunamshuru sana Mary chitanda , kwa kitendo chake cha kuongea bila kutafuna maneno kwa kusema kuwa Tundu Lissu ni fisadi anaufisadi mfuko wa jimbo na amemtaka mkaguzi mkuu aende kukagua mfuko huo aone ufisadi wa Lissu.
 
tena huyu mama alikwenda mbali zaidi kwa kuwazodoa kina mbowe, baada ya kusema Rose kamili hakuumia mkono wake kwa kupingwa na polisi kama chadema wanavyodai, Rose kamili aliumia ule mkono tangu akiwa ccm kwa kupata ajali ya gari na hivyo kuwekewa chuma kabla hata ya kuhamia chadema kutoka ccm.

sasa anashangaa leo chadema wanavyounasibisha mkono wa rose kamili na kupingwa na polisi wakati wanaujua ukweli katika mioyo yao na rose mwenyewe anafahamu hilo
 
Ukweli utawaweka huru ccm
 
Mtoa mada
We jifurahishe tu, Karatu hawawezi kurudia matapishi, na uharo (ccm). Ni wazi kuwa Mbunge Israel Natse ameonesha udhaifu mkubwa, hatutegemei Chama kituteulie tena Mbunge dhaifu kama huyo.

Lazaro Massay anapaswa kuwa gerezani, lakini kwa vile serikali ya ccm ni dhaifu, ndo maana anapeta mitaani. Hakuna sababu ya kulaamu CHADEMA kwa jambo linalohusu serikali.

Huyo Chitanda inafaa kuchunguza uwezo wake. Kwa nafasi yake alichukua hatua gani kuhusu suala hilo? Anaenda kusema Bungeni ili iweje?
 
Siku zote CHADEMA hutupia lawama kwa CCM kuwa ni watu fisadi, je huyu naye ni kiongozi wa CCM?
 
Back
Top Bottom