jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,052
- 28,242
1-Fedha za dawa awamu ya kwanza zimeingia MSD
2-Ameyaamsha mabaraza ya kiataaluma ambayo yalikuwa yanakusanya fedha tu kutoka kwa wataalamu bila kutekeleza majukumu yao kikamilifu.kwa mara ya kwanza nimeona wasajili wa mabaraza ya kitaaluma wakianza kujiwajibisha.
3-Amewezesha viongozi wakuu mfano Jaffo na Waziri mkuu kutoa maagizo kuhusu bima ya afya ya jamii
4 -Ameiweka sekta ya afya kwenye media/jamii ikaanza kuongelewa kama sekta ya elimu
5-Ameonesha roles za wakurugenzi,waweka hazina,wakaguzi wa ndani, maafisa maendeleo ya jamii, ma IT, jamii n.k katika kuiboresha sekta ya afya.
6-Ameboresha mfumo wa ushughulikiaji kero ndogo ndogo za jamii katika afya kwa wakati
7-Ameiamsha MSD katika kusaka muarubaini wa ukosefu wa vifaa tiba
8-Amewanyoosha wanaojipigia fedha za miradi mfano kuwakataza wasiende kihokela mikoani badala yake wamobilize na kucoordinate hizo resources ili kufanya usimamizi wenye matokeo.
9-Amehimiza uwajibikaji wa wataalamu kwa kutumia miongozo iliyopo.
10-Hivi karibuni huduma za afya zitaanza kulipiwa kama maji na luku kupitia MPESA,AIRTEL MONEY N.K
11-HAJATUMBUA ASIYE NA KOSA.KILIO KINATOKA WAPI??
HAYA MACHACHE LAZIMA YAAMSHE JOTO
USHAURI: JUDGE FROM ISSUES NOT PERSONALITY AND STYLE!!!
ITAENDELEA...
BY MJEDA ALIOPO FRONTLINE CHINI YA FIELD MARSHALL GWAJIMA