Yalitaka kutokea mauaji ya Halaiki Hapa Magomeni muda huu

Hii tabia ya kujifanya watu fulani wakiwa katika kutekeleza nguzo za dini yao wanatulazimisha na wengine tusile waiache.
 

Mkuu nionyeshe wapi hayo magauni yanauzwa nikayanunue na kuyafanya sare za wafanyakazi wangu wa bucha ya kuchinja nguruwe.
 
Acha ukorofi wa kishamba . Heshimu imani ya wenzako
 
brother hii ya Tango, niliwahi kuleta kilio nyumbuni, nilikutwa kibarazani nakula tango alaf niko na bakuli la asali alitokea mama yangu mdogo akakipiga kile kibakuli na yale matango na kuangua kilio nusu ya kijiji walikuja nyumbani ati ninakufa nimekula sumu, kulikuwa kuna wamama wa kimasai nikawekewa vibuyu mdomoni ninywe maziwa yale watu wamejaa mi nashangaa....sikufa wala sikupata tatizo lolote ila ilikuwa gumzo hiyo wiki huyu mtoto alitaka kutuletea balaa anataka kujiua.
huwezi kula supu (ya nyama) na maziwa fresh usiharishe. Huwa haishauriwi.
ni kama kulamba asali na muda huohuo utafune tango, lazima uage dunia.
 
Usingeweza kuwapiga risasi acha uwongo wewe. Kwanza wewe ni mtu mwoga na mchokozi. Ulijua fika kwa kuvaa kanzu na kula hadharani katika mwezi wa Ramadhani, tena Magomeni, kungewachukiza Wananchi wapitao, ambao wengi wao ni Waislamu. Hizo risasi ungepiga zingeisha, halafu ungefanya nini?
 
Uliji kusudisha.Lakini siku Nyinge Usirudie
 
Haahaaahaaaaaaaaaaaa...
Dahhhh...
Msema peke mshindi!.
 
Kanzu inahusiano gani na uislamu? Hayo ni mawazo ya kipumbavu. Angenisogelea mmoja angeona ambacho ngefanya kama nsingemtia ulemavu. Kanzu inahusiana vipi na uislamu hebu nambie. Ongea kama mtu mwenye elimu au uelewa.

 
Ukienda Zanzibar. Utaambiwa Kanzu ni vazi la mswahili. Huku bara waliko import dini wanakwambia ni vazi la kiislamu.
 
Porojo unazitungia kisa cha uongo.
 
Ungeacha tu wakutandike kwani uislam ili uislamu ukamilike lazima damu imwagike.
Kwanini wasimvamie muuza supu?
Kama vile ukiristo haukamiliki mpaka wanywe damu ya Yesu na wale mwili wake kama mazombie !
 
Mgalatia hii hadithi kakufundisha nani !?
 
Mmmmmm, Mkuu kweli watu hatulingani!
Chapati Nne na Supu na Maziwa??
Mimi ukinipa chapati mbili tu na Supu na kikombe cha Chai...Nitahemea juu juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…