Yalitaka kutokea mauaji ya Halaiki Hapa Magomeni muda huu

Mtu Asiyejulikana

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
316
Points
1,000
Mtu Asiyejulikana

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2017
316 1,000
Leo nimeamka nikiwa simple tu nilipigiwa simu ofisini nielekee sehemu moja Magomeni kwa shughuli za kikazi. Nilivaa vazi ambalo wengi husema asili yake ni uarabuni. Lakini mimi nilinunua duka la kihindi wanaita Punjab Style.

Ni mpenzi wa kuvaa hivyo huvaa nguo tofauti tofauti za tamaduni mbalimbali.Kuna siku unaweza nikuta nimevaa kimasai.

Nikiwa navuta muda kuweza onana na mtu wangu nikaona nishuke kwenye gari nikae sehemu moja wanauza chakula na nikaagiza soup ya mbuzi na chapati nne na maziwa fresh.

Nimekaa nakula akaja jamaa mmoja ananiita mimi kobe? Sukumwelewa anamaanisha nini.Baadaye mwingine pembeni ndo akanambia kwanini nakula hadharani? Nilimjibu ni haki yangu kula popote kwa wakati wowote.

Jamaa yule wa kwanza alitoka akaja na wenzie watatu wameshika bakora etu kuniadabisha kwa kuudhalilisha Uislamu. Jamaa wamekomaa hasa na bakora zao na imekuwa zogo.

Niliwaambia nataka nimwone wa kwanza kunichapa bakora.Nikasimama maana ndani ya ile nguo nimevaa kisuruali ambacho kina mifuko.Nikatoa silaha maana nilihisi wale jamaa wanataka kuhatarisha maisha yangu.

Hiyo ndo imekuwa ponea yangu sababu jamaa waliona nipo serious nami ningelazimika kufanya mauaji ya halaiki kwa wale jamaa maana walisha paniki bila sababu wanataka kuniadhibu for no reason.

Nauliza waungwana kuna kosa gani mimi kula mchana nikiwa nimevaa mavazi ambayo leo nimeambiwa ni ya kiislamu?mimi nafahamu wayahudi wanavaa hivi huko Israel. Nafahamu kuna wakristo wa kiarabu wanavaa hivi.

Kwanini hili vazi lionekane ni la dini fulani? Mimi binafsi sifungwi na dini nina imani yangu kwa Mungu lakini sibanwi na dini, sipendi unafiki.

Why waone nadhalilisha uislam wakati sikuongea neno lolote la kiislamu au sikufanya ishara yoyote ya kuonesha mimi ni mkristo au muislam?

Hizi akili hawa jamaa walitoa wapi kuona wanastahili kuniadhibu acha kuniita kobe sikuona issue sababu hata ukiniita shetani ikiwa najua mi si shetani siwezi gombana nawe.

Mi nadhani tuheshimiane na tuheshimu haki za watu wengine. Mimi nimekulia ktk mazingira ya kiislam naufahamu uislamu some how naufahamu ukristo some how. Tusitake kuendesheana maisha.

Leo kweli ngemchapa mtu risasi ya mguuni na ingekuwa gumzo. Najua kuna watu watakuwa wamechukua video tukio hilo. I dont care but nawaambia watu wasio na ustaarabu wasitumie dini vibaya.
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
23,824
Points
2,000
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
23,824 2,000

Story ya kutunga hii,
JF bana watoto wa juzi mnaboa Sana aisee. Mnaalishushia heshima hili jukwaa.
 
S

Somi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Messages
1,208
Points
2,000
S

Somi

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2009
1,208 2,000

Ulivyotoa silaha walikimbia au walikuomba msamaha au walikuwa muted na Ku freeze?
 
mshipa

mshipa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2015
Messages
9,432
Points
2,000
mshipa

mshipa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2015
9,432 2,000
huwezi kula supu (ya nyama) na maziwa fresh usiharishe. Huwa haishauriwi.
ni kama kulamba asali na muda huohuo utafune tango, lazima uage dunia.
Hii sio kweli nilishakula tango na asali na sikupata tatizo lolote
Mara ya kwanza nilikula kwenye restaurant ya kichina hapo victoria na siku nyingine nikiwa tu nyumbani nikachukua asali kwenye kisosi nikakatakata matango yangu nikawa nakula taratibu na mchalii zangu na hakuna tatizo lolote
Mi nadhani hizo ni story tu
 
B

bibinnaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Messages
1,255
Points
2,000
Age
67
B

bibinnaa

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2017
1,255 2,000
Kwanza mtoa mada siyo mkweli
Pili mtoa mada kama muoga vile
Tatu mtoa mada hana hiyo Pipe
Nne....kiustaarabu tu angewarai hao watu kwamba yeye siyo Muislam mbona kusingekuwa na yoote hayo kama ni mkweli
 
Ndjabu Da Dude

Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Messages
4,253
Points
2,000
Ndjabu Da Dude

Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2008
4,253 2,000
Kanzu inahusiano gani na uislamu? Hayo ni mawazo ya kipumbavu. Angenisogelea mmoja angeona ambacho ngefanya kama nsingemtia ulemavu. Kanzu inahusiana vipi na uislamu hebu nambie. Ongea kama mtu mwenye elimu au uelewa.
Wewe ni mjinga halafu una kiburi sana. Kwa mtazamo wako, labda ungekuwa unaishi pekee yako kisiwani kufanya hayo uliyofanya. Tatizo siyo uelewa wa Uislamu. Ishu ni tafsiri unayotoa kwa watu ambao hawakujui. Kama ni kweli unayodai, basi ni wazi ullifanya makusudi kuvaa kanzu na kula mtaani ili ku-provoke negative reaction ukijua una silaha. Nakuhahikishia ungefyatua hata risasi moja hewani leo ungekuwa marehemu wewe.
 
Omulasil

Omulasil

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2015
Messages
1,455
Points
2,000
Omulasil

Omulasil

JF-Expert Member
Joined May 5, 2015
1,455 2,000
Unaidhalilisha hiyo silaha. Unatoa silaha unairidisha bila kuwa imetumika nani alikufundisha hiyo kanuni? Au umeirithi kinyemela? Siku nyingine utaionesha halafu ichukuliwe
 
M

MasterGamaliel

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
302
Points
250
M

MasterGamaliel

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
302 250
Kufunga ni kujizuia kula mbele ya vyakula na si kuzuia vyakula visionekane maeneo uliyopo, maana kufunga ni kuacha na wala siyo kukosa!
 
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
5,749
Points
2,000
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
5,749 2,000
Kwa wewe kafiri 'mla nguruwe' huwezi elewa chochote. Bali kulaumu tu!
Kama umefunga na bado unatumia lugha za maudhi namna hi, mkuu wewe unashinda na njaa tu, fungua then tuendelee kula wote KITI moto, maanake pia mwezi hu hi biashara huaga inadoda sana, sijui hua haitangazwi au tatizo sijui ni lipi?
 
S

snowden E

Member
Joined
Apr 27, 2018
Messages
92
Points
125
S

snowden E

Member
Joined Apr 27, 2018
92 125
Leo nimeamka nikiwa simple tu nilipigiwa simu ofisini nielekee sehemu moja Magomeni kwa shughuli za kikazi. Nilivaa vazi ambalo wengi husema asili yake ni uarabuni. Lakini mimi nilinunua duka la kihindi wanaita Punjab Style.

Ni mpenzi wa kuvaa hivyo huvaa nguo tofauti tofauti za tamaduni mbalimbali.Kuna siku unaweza nikuta nimevaa kimasai.

Nikiwa navuta muda kuweza onana na mtu wangu nikaona nishuke kwenye gari nikae sehemu moja wanauza chakula na nikaagiza soup ya mbuzi na chapati nne na maziwa fresh.

Nimekaa nakula akaja jamaa mmoja ananiita mimi kobe? Sukumwelewa anamaanisha nini.Baadaye mwingine pembeni ndo akanambia kwanini nakula hadharani? Nilimjibu ni haki yangu kula popote kwa wakati wowote.

Jamaa yule wa kwanza alitoka akaja na wenzie watatu wameshika bakora etu kuniadabisha kwa kuudhalilisha Uislamu. Jamaa wamekomaa hasa na bakora zao na imekuwa zogo.

Niliwaambia nataka nimwone wa kwanza kunichapa bakora.Nikasimama maana ndani ya ile nguo nimevaa kisuruali ambacho kina mifuko.Nikatoa silaha maana nilihisi wale jamaa wanataka kuhatarisha maisha yangu.

Hiyo ndo imekuwa ponea yangu sababu jamaa waliona nipo serious nami ningelazimika kufanya mauaji ya halaiki kwa wale jamaa maana walisha paniki bila sababu wanataka kuniadhibu for no reason.

Nauliza waungwana kuna kosa gani mimi kula mchana nikiwa nimevaa mavazi ambayo leo nimeambiwa ni ya kiislamu?mimi nafahamu wayahudi wanavaa hivi huko Israel. Nafahamu kuna wakristo wa kiarabu wanavaa hivi.

Kwanini hili vazi lionekane ni la dini fulani? Mimi binafsi sifungwi na dini nina imani yangu kwa Mungu lakini sibanwi na dini, sipendi unafiki.

Why waone nadhalilisha uislam wakati sikuongea neno lolote la kiislamu au sikufanya ishara yoyote ya kuonesha mimi ni mkristo au muislam?

Hizi akili hawa jamaa walitoa wapi kuona wanastahili kuniadhibu acha kuniita kobe sikuona issue sababu hata ukiniita shetani ikiwa najua mi si shetani siwezi gombana nawe.

Mi nadhani tuheshimiane na tuheshimu haki za watu wengine. Mimi nimekulia ktk mazingira ya kiislam naufahamu uislamu some how naufahamu ukristo some how. Tusitake kuendesheana maisha.

Leo kweli ngemchapa mtu risasi ya mguuni na ingekuwa gumzo. Najua kuna watu watakuwa wamechukua video tukio hilo. I dont care but nawaambia watu wasio na ustaarabu wasitumie dini vibaya.
Matukio kama haya yapo, ila hili lakwako umetunga.
Unaruhusiwa kubisha.
 
Forum statistics

Threads 1,294,041
Members 497,789
Posts 31,163,128
Top