Yalitaka kutokea mauaji ya Halaiki Hapa Magomeni muda huu

Mtu Asiyejulikana

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
316
Points
1,000
Mtu Asiyejulikana

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2017
316 1,000
Leo nimeamka nikiwa simple tu nilipigiwa simu ofisini nielekee sehemu moja Magomeni kwa shughuli za kikazi. Nilivaa vazi ambalo wengi husema asili yake ni uarabuni. Lakini mimi nilinunua duka la kihindi wanaita Punjab Style.

Ni mpenzi wa kuvaa hivyo huvaa nguo tofauti tofauti za tamaduni mbalimbali.Kuna siku unaweza nikuta nimevaa kimasai.

Nikiwa navuta muda kuweza onana na mtu wangu nikaona nishuke kwenye gari nikae sehemu moja wanauza chakula na nikaagiza soup ya mbuzi na chapati nne na maziwa fresh.

Nimekaa nakula akaja jamaa mmoja ananiita mimi kobe? Sukumwelewa anamaanisha nini.Baadaye mwingine pembeni ndo akanambia kwanini nakula hadharani? Nilimjibu ni haki yangu kula popote kwa wakati wowote.

Jamaa yule wa kwanza alitoka akaja na wenzie watatu wameshika bakora etu kuniadabisha kwa kuudhalilisha Uislamu. Jamaa wamekomaa hasa na bakora zao na imekuwa zogo.

Niliwaambia nataka nimwone wa kwanza kunichapa bakora.Nikasimama maana ndani ya ile nguo nimevaa kisuruali ambacho kina mifuko.Nikatoa silaha maana nilihisi wale jamaa wanataka kuhatarisha maisha yangu.

Hiyo ndo imekuwa ponea yangu sababu jamaa waliona nipo serious nami ningelazimika kufanya mauaji ya halaiki kwa wale jamaa maana walisha paniki bila sababu wanataka kuniadhibu for no reason.

Nauliza waungwana kuna kosa gani mimi kula mchana nikiwa nimevaa mavazi ambayo leo nimeambiwa ni ya kiislamu?mimi nafahamu wayahudi wanavaa hivi huko Israel. Nafahamu kuna wakristo wa kiarabu wanavaa hivi.

Kwanini hili vazi lionekane ni la dini fulani? Mimi binafsi sifungwi na dini nina imani yangu kwa Mungu lakini sibanwi na dini, sipendi unafiki.

Why waone nadhalilisha uislam wakati sikuongea neno lolote la kiislamu au sikufanya ishara yoyote ya kuonesha mimi ni mkristo au muislam?

Hizi akili hawa jamaa walitoa wapi kuona wanastahili kuniadhibu acha kuniita kobe sikuona issue sababu hata ukiniita shetani ikiwa najua mi si shetani siwezi gombana nawe.

Mi nadhani tuheshimiane na tuheshimu haki za watu wengine. Mimi nimekulia ktk mazingira ya kiislam naufahamu uislamu some how naufahamu ukristo some how. Tusitake kuendesheana maisha.

Leo kweli ngemchapa mtu risasi ya mguuni na ingekuwa gumzo. Najua kuna watu watakuwa wamechukua video tukio hilo. I dont care but nawaambia watu wasio na ustaarabu wasitumie dini vibaya.
 
M

Msukumakizazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2017
Messages
2,026
Points
2,000
Age
42
M

Msukumakizazi

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2017
2,026 2,000

Ila we jamaa nae ulitia fora!!! chapati 4 duuuh,,, unapiga chuma?
 
M

Msukumakizazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2017
Messages
2,026
Points
2,000
Age
42
M

Msukumakizazi

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2017
2,026 2,000
E bwana ee hiv imekaaje hii ya kula tango halaf ukalamba sukari.logic yake ikoje na hiw is explained?
Maana kuna wakat huwa napata hofu wanangu wadogo wasio jua lolote ikatokea wamechanganya haya ma file halaf nikapata tabu mm
We jamaa hata kuigilizia huwezi!!! ni wapi amesema kulamba sukari?
 
Kirchhoff

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
3,655
Points
2,000
Kirchhoff

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
3,655 2,000
Tunawajua hila za makafiri ! Wao wamehangaika na kwaresma yao ambayo haijulikani mashariki wala magharibi, sasa wanaumia wanapo ona 'waumini' wakinyenyekea !
Waumin wa Shetanallah wakinyneykea inatuuma. Kwa Nini msiwe wafuasi wake Yesu Kristo Aliye hai?
 
semper saratoga

semper saratoga

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Messages
814
Points
1,000
semper saratoga

semper saratoga

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2015
814 1,000
Wapi kanzu inatajwa kama vazi la kiislam? Kitabu gani katika Quran? Vipi kuhusu wahaya wanaovaa kanzu kama vazi la asili? Walishushiwa injili?
Kosa lako kuvaa vazi la kiislam na huku unakula hadharani. Dini inaruhusu wasiofunga kutokana na sabab mbalimbali wale kama kawaida ila sio HADHARANI.Ungevaa vazi neutral hakuna ambaye angekusogelea
 
semper saratoga

semper saratoga

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Messages
814
Points
1,000
semper saratoga

semper saratoga

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2015
814 1,000
Kungewachukizaje mkuu?
Usingeweza kuwapiga risasi acha uwongo wewe. Kwanza wewe ni mtu mwoga na mchokozi. Ulijua fika kwa kuvaa kanzu na kula hadharani katika mwezi wa Ramadhani, tena Magomeni, kungewachukiza Wananchi wapitao, ambao wengi wao ni Waislamu. Hizo risasi ungepiga zingeisha, halafu ungefanya nini?
 
njitile junior

njitile junior

Senior Member
Joined
Aug 6, 2016
Messages
160
Points
250
Age
37
njitile junior

njitile junior

Senior Member
Joined Aug 6, 2016
160 250
Nimefurahia andiko lako la kuchekesha na panjabi zako.
Kilichonifirahisha ni jinsi ulivyojitahdi kutunga hadithi na kuifanya kama tukio la kweli lkn pamoja na jitihada zote bado hukuweza kufanya ionekane si tukio la kubuni.
Wewe ni pumba kuliko pumba zenyewe.
Leo nimeamka nikiwa simple tu nilipigiwa simu ofisini nielekee sehemu moja Magomeni kwa shughuli za kikazi. Nilivaa vazi ambalo wengi husema asili yake ni uarabuni. Lakini mimi nilinunua duka la kihindi wanaita Punjab Style.

Ni mpenzi wa kuvaa hivyo huvaa nguo tofauti tofauti za tamaduni mbalimbali.Kuna siku unaweza nikuta nimevaa kimasai.

Nikiwa navuta muda kuweza onana na mtu wangu nikaona nishuke kwenye gari nikae sehemu moja wanauza chakula na nikaagiza soup ya mbuzi na chapati nne na maziwa fresh.

Nimekaa nakula akaja jamaa mmoja ananiita mimi kobe? Sukumwelewa anamaanisha nini.Baadaye mwingine pembeni ndo akanambia kwanini nakula hadharani? Nilimjibu ni haki yangu kula popote kwa wakati wowote.

Jamaa yule wa kwanza alitoka akaja na wenzie watatu wameshika bakora etu kuniadabisha kwa kuudhalilisha Uislamu. Jamaa wamekomaa hasa na bakora zao na imekuwa zogo.

Niliwaambia nataka nimwone wa kwanza kunichapa bakora.Nikasimama maana ndani ya ile nguo nimevaa kisuruali ambacho kina mifuko.Nikatoa silaha maana nilihisi wale jamaa wanataka kuhatarisha maisha yangu.

Hiyo ndo imekuwa ponea yangu sababu jamaa waliona nipo serious nami ningelazimika kufanya mauaji ya halaiki kwa wale jamaa maana walisha paniki bila sababu wanataka kuniadhibu for no reason.

Nauliza waungwana kuna kosa gani mimi kula mchana nikiwa nimevaa mavazi ambayo leo nimeambiwa ni ya kiislamu?mimi nafahamu wayahudi wanavaa hivi huko Israel. Nafahamu kuna wakristo wa kiarabu wanavaa hivi.

Kwanini hili vazi lionekane ni la dini fulani? Mimi binafsi sifungwi na dini nina imani yangu kwa Mungu lakini sibanwi na dini, sipendi unafiki.

Why waone nadhalilisha uislam wakati sikuongea neno lolote la kiislamu au sikufanya ishara yoyote ya kuonesha mimi ni mkristo au muislam?

Hizi akili hawa jamaa walitoa wapi kuona wanastahili kuniadhibu acha kuniita kobe sikuona issue sababu hata ukiniita shetani ikiwa najua mi si shetani siwezi gombana nawe.

Mi nadhani tuheshimiane na tuheshimu haki za watu wengine. Mimi nimekulia ktk mazingira ya kiislam naufahamu uislamu some how naufahamu ukristo some how. Tusitake kuendesheana maisha.

Leo kweli ngemchapa mtu risasi ya mguuni na ingekuwa gumzo. Najua kuna watu watakuwa wamechukua video tukio hilo. I dont care but nawaambia watu wasio na ustaarabu wasitumie dini vibaya.
 
Countrywide

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Messages
3,108
Points
2,000
Countrywide

Countrywide

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2015
3,108 2,000
Usingeweza kuwapiga risasi acha uwongo wewe. Kwanza wewe ni mtu mwoga na mchokozi. Ulijua fika kwa kuvaa kanzu na kula hadharani katika mwezi wa Ramadhani, tena Magomeni, kungewachukiza Wananchi wapitao, ambao wengi wao ni Waislamu. Hizo risasi ungepiga zingeisha, halafu ungefanya nini?
Sasa ustadh, huyo jamaa kula hadharani kuwawachukizaje wengine? Wao wanafunga kwa ajili gani?
 
enjai ya kyasha

enjai ya kyasha

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
2,348
Points
2,000
enjai ya kyasha

enjai ya kyasha

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
2,348 2,000
Tatizo la hawa jamaa wamejazwa maneno ambayo hata wao hawayaelewi kwa hiyo huwa wanfanya kukurupuka
 
dafity

dafity

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2008
Messages
1,701
Points
2,000
dafity

dafity

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2008
1,701 2,000
Ulilofanya ni KOSA. Ni sawa mdada avae kama "sister" na kilemba juu kisha akafanye ukahaba.
Mavazi unayovaa yanatoa ujumbe kwa wanaokuona. Usirudie tena
Leo nimeamka nikiwa simple tu nilipigiwa simu ofisini nielekee sehemu moja Magomeni kwa shughuli za kikazi. Nilivaa vazi ambalo wengi husema asili yake ni uarabuni. Lakini mimi nilinunua duka la kihindi wanaita Punjab Style.

Ni mpenzi wa kuvaa hivyo huvaa nguo tofauti tofauti za tamaduni mbalimbali.Kuna siku unaweza nikuta nimevaa kimasai.

Nikiwa navuta muda kuweza onana na mtu wangu nikaona nishuke kwenye gari nikae sehemu moja wanauza chakula na nikaagiza soup ya mbuzi na chapati nne na maziwa fresh.

Nimekaa nakula akaja jamaa mmoja ananiita mimi kobe? Sukumwelewa anamaanisha nini.Baadaye mwingine pembeni ndo akanambia kwanini nakula hadharani? Nilimjibu ni haki yangu kula popote kwa wakati wowote.

Jamaa yule wa kwanza alitoka akaja na wenzie watatu wameshika bakora etu kuniadabisha kwa kuudhalilisha Uislamu. Jamaa wamekomaa hasa na bakora zao na imekuwa zogo.

Niliwaambia nataka nimwone wa kwanza kunichapa bakora.Nikasimama maana ndani ya ile nguo nimevaa kisuruali ambacho kina mifuko.Nikatoa silaha maana nilihisi wale jamaa wanataka kuhatarisha maisha yangu.

Hiyo ndo imekuwa ponea yangu sababu jamaa waliona nipo serious nami ningelazimika kufanya mauaji ya halaiki kwa wale jamaa maana walisha paniki bila sababu wanataka kuniadhibu for no reason.

Nauliza waungwana kuna kosa gani mimi kula mchana nikiwa nimevaa mavazi ambayo leo nimeambiwa ni ya kiislamu?mimi nafahamu wayahudi wanavaa hivi huko Israel. Nafahamu kuna wakristo wa kiarabu wanavaa hivi.

Kwanini hili vazi lionekane ni la dini fulani? Mimi binafsi sifungwi na dini nina imani yangu kwa Mungu lakini sibanwi na dini, sipendi unafiki.

Why waone nadhalilisha uislam wakati sikuongea neno lolote la kiislamu au sikufanya ishara yoyote ya kuonesha mimi ni mkristo au muislam?

Hizi akili hawa jamaa walitoa wapi kuona wanastahili kuniadhibu acha kuniita kobe sikuona issue sababu hata ukiniita shetani ikiwa najua mi si shetani siwezi gombana nawe.

Mi nadhani tuheshimiane na tuheshimu haki za watu wengine. Mimi nimekulia ktk mazingira ya kiislam naufahamu uislamu some how naufahamu ukristo some how. Tusitake kuendesheana maisha.

Leo kweli ngemchapa mtu risasi ya mguuni na ingekuwa gumzo. Najua kuna watu watakuwa wamechukua video tukio hilo. I dont care but nawaambia watu wasio na ustaarabu wasitumie dini vibaya.
 
Shubiri Pori

Shubiri Pori

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Messages
662
Points
1,000
Shubiri Pori

Shubiri Pori

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2015
662 1,000
huwezi kula supu (ya nyama) na maziwa fresh usiharishe. Huwa haishauriwi.
ni kama kulamba asali na muda huohuo utafune tango, lazima uage dunia.
Si kweli hii kitu nilishakula tango na asali mara kaza na bado na dunda kitaaa, ishu ni ukipaliwa mziki wake utaucheza ahela
 
Dindira

Dindira

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Messages
2,944
Points
2,000
Dindira

Dindira

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2016
2,944 2,000
Wanao waita wenzao makafir dini ya kiislamu hawaijui na wanao wachukia waislamu humu ukristo hawaijui.
1. Amri iliyo kuu inasema mpende Mungu wako kwa akili zako zote, kwa nguvu zako zote na kwa moyo wako wote.
2. Mpende jirani yako kama nafsi yako.
Waislamu wanaojua Quran ambao humu sijui kama wapo wanapashwa kujua kua kwenye Quran imeandikwa. Mpende mkristo kwani ni ndugu yako.
Mtakumbuka dini zote hizi zimetokana na Abraham ndio maana zinaitwa abrahamic religions.
Waislam wengi humu hata Quran hawana majumbani mwao. Ni waislamu jina tu. Wengine hatakuiona au kuishika hawajawahi.
Kama kuna anaehitaji anipe namba ya simu na nitamnunulia Quran na kumletea mpaka mlangoni kwa gharama zake. Kama hajui kiarabu nitamletea ya kiswahili
 
Dindira

Dindira

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Messages
2,944
Points
2,000
Dindira

Dindira

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2016
2,944 2,000
Kushinda na njaa ni kugumu kama sio muislamu wa haki. Ndio maana wanataka kumalizia hasira zao kwa chalii anaefaidi chapati ambazo walikua wanazitamani.
Ni kama mtu anaeshabikia mzinzi anaezini na mwanamke asiye na mume apigwe kisa tu wenyewe wameshindwa kumtongoza.
 
Polite

Polite

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
2,713
Points
2,000
Polite

Polite

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
2,713 2,000
Leo nimeamka nikiwa simple tu nilipigiwa simu ofisini nielekee sehemu moja Magomeni kwa shughuli za kikazi. Nilivaa vazi ambalo wengi husema asili yake ni uarabuni. Lakini mimi nilinunua duka la kihindi wanaita Punjab Style.

Ni mpenzi wa kuvaa hivyo huvaa nguo tofauti tofauti za tamaduni mbalimbali.Kuna siku unaweza nikuta nimevaa kimasai.

Nikiwa navuta muda kuweza onana na mtu wangu nikaona nishuke kwenye gari nikae sehemu moja wanauza chakula na nikaagiza soup ya mbuzi na chapati nne na maziwa fresh.

Nimekaa nakula akaja jamaa mmoja ananiita mimi kobe? Sukumwelewa anamaanisha nini.Baadaye mwingine pembeni ndo akanambia kwanini nakula hadharani? Nilimjibu ni haki yangu kula popote kwa wakati wowote.

Jamaa yule wa kwanza alitoka akaja na wenzie watatu wameshika bakora etu kuniadabisha kwa kuudhalilisha Uislamu. Jamaa wamekomaa hasa na bakora zao na imekuwa zogo.

Niliwaambia nataka nimwone wa kwanza kunichapa bakora.Nikasimama maana ndani ya ile nguo nimevaa kisuruali ambacho kina mifuko.Nikatoa silaha maana nilihisi wale jamaa wanataka kuhatarisha maisha yangu.

Hiyo ndo imekuwa ponea yangu sababu jamaa waliona nipo serious nami ningelazimika kufanya mauaji ya halaiki kwa wale jamaa maana walisha paniki bila sababu wanataka kuniadhibu for no reason.

Nauliza waungwana kuna kosa gani mimi kula mchana nikiwa nimevaa mavazi ambayo leo nimeambiwa ni ya kiislamu?mimi nafahamu wayahudi wanavaa hivi huko Israel. Nafahamu kuna wakristo wa kiarabu wanavaa hivi.

Kwanini hili vazi lionekane ni la dini fulani? Mimi binafsi sifungwi na dini nina imani yangu kwa Mungu lakini sibanwi na dini, sipendi unafiki.

Why waone nadhalilisha uislam wakati sikuongea neno lolote la kiislamu au sikufanya ishara yoyote ya kuonesha mimi ni mkristo au muislam?

Hizi akili hawa jamaa walitoa wapi kuona wanastahili kuniadhibu acha kuniita kobe sikuona issue sababu hata ukiniita shetani ikiwa najua mi si shetani siwezi gombana nawe.

Mi nadhani tuheshimiane na tuheshimu haki za watu wengine. Mimi nimekulia ktk mazingira ya kiislam naufahamu uislamu some how naufahamu ukristo some how. Tusitake kuendesheana maisha.

Leo kweli ngemchapa mtu risasi ya mguuni na ingekuwa gumzo. Najua kuna watu watakuwa wamechukua video tukio hilo. I dont care but nawaambia watu wasio na ustaarabu wasitumie dini vibaya.
Hadithi njoo uongo njoo utam kolea.

Hapo zamani za kale magomeni alitokea FISI.....
 
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
20,197
Points
2,000
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
20,197 2,000
Mi nadhani tuheshimiane na tuheshimu haki za watu wengine. Mimi nimekulia ktk mazingira ya kiislam naufahamu uislamu some how naufahamu ukristo some how. Tusitake kuendesheana maisha.
Uislam,haumgusi wala kumlazimisha,asiekua muislam kufunga
Tatizo hao hawana ilmu ya uislamu
 
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Messages
5,027
Points
2,000
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2009
5,027 2,000
Leo nimeamka nikiwa simple tu nilipigiwa simu ofisini nielekee sehemu moja Magomeni kwa shughuli za kikazi. Nilivaa vazi ambalo wengi husema asili yake ni uarabuni. Lakini mimi nilinunua duka la kihindi wanaita Punjab Style.

Ni mpenzi wa kuvaa hivyo huvaa nguo tofauti tofauti za tamaduni mbalimbali.Kuna siku unaweza nikuta nimevaa kimasai.

Nikiwa navuta muda kuweza onana na mtu wangu nikaona nishuke kwenye gari nikae sehemu moja wanauza chakula na nikaagiza soup ya mbuzi na chapati nne na maziwa fresh.

Nimekaa nakula akaja jamaa mmoja ananiita mimi kobe? Sukumwelewa anamaanisha nini.Baadaye mwingine pembeni ndo akanambia kwanini nakula hadharani? Nilimjibu ni haki yangu kula popote kwa wakati wowote.

Jamaa yule wa kwanza alitoka akaja na wenzie watatu wameshika bakora etu kuniadabisha kwa kuudhalilisha Uislamu. Jamaa wamekomaa hasa na bakora zao na imekuwa zogo.

Niliwaambia nataka nimwone wa kwanza kunichapa bakora.Nikasimama maana ndani ya ile nguo nimevaa kisuruali ambacho kina mifuko.Nikatoa silaha maana nilihisi wale jamaa wanataka kuhatarisha maisha yangu.

Hiyo ndo imekuwa ponea yangu sababu jamaa waliona nipo serious nami ningelazimika kufanya mauaji ya halaiki kwa wale jamaa maana walisha paniki bila sababu wanataka kuniadhibu for no reason.

Nauliza waungwana kuna kosa gani mimi kula mchana nikiwa nimevaa mavazi ambayo leo nimeambiwa ni ya kiislamu?mimi nafahamu wayahudi wanavaa hivi huko Israel. Nafahamu kuna wakristo wa kiarabu wanavaa hivi.

Kwanini hili vazi lionekane ni la dini fulani? Mimi binafsi sifungwi na dini nina imani yangu kwa Mungu lakini sibanwi na dini, sipendi unafiki.

Why waone nadhalilisha uislam wakati sikuongea neno lolote la kiislamu au sikufanya ishara yoyote ya kuonesha mimi ni mkristo au muislam?

Hizi akili hawa jamaa walitoa wapi kuona wanastahili kuniadhibu acha kuniita kobe sikuona issue sababu hata ukiniita shetani ikiwa najua mi si shetani siwezi gombana nawe.

Mi nadhani tuheshimiane na tuheshimu haki za watu wengine. Mimi nimekulia ktk mazingira ya kiislam naufahamu uislamu some how naufahamu ukristo some how. Tusitake kuendesheana maisha.

Leo kweli ngemchapa mtu risasi ya mguuni na ingekuwa gumzo. Najua kuna watu watakuwa wamechukua video tukio hilo. I dont care but nawaambia watu wasio na ustaarabu wasitumie dini vibaya.
Wametia akili
Tz haina dini wasituzingue eboh!
 
Forum statistics

Threads 1,294,032
Members 497,789
Posts 31,162,867
Top